Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Kasome MEXICO CESSION 1848 na ukasome AMERICAN- MEXICO WAR .... Nakwambieni msifanye watu wajinga .... Ukitaka nikufundishe ntakudai ada .... Nenda kasome Kwa bando lako tu. Halafu Urudi hapa .... Hivi shule mnaendaga kusomea ujinga na kukariri tu. Na unauliza kabisa eti kwani Mexico ilikiwa nchi !!?? Imekuwa nchi tangu 1810 .... Ficha ujinga wako........... Mwaka gani huo na je Mexico ilikuwa ni nchi?
Explosives ziko za aina nyingi tofauti. Hizo sijui zina TNT au kitu gani. Kinachofanya shell iwe kubwa ni kutokuwa na shabaha sahihi sana kwahiyo inapewa explosive kubwa angalau hata ikikosea target kidogo ilete madhara. Hizi Switchblade ziko very accurate unaweza ziongoza sehemu husika zikatumia camera kuonesha kilichopo kisha ukazielekeza ziharibu wapi. Ni single use yenyewe inajilipua kwenye target. Zilizopelekwa Ukraine ni ndogo haziwezi kuharibu vifaru ila Marekani za kuharibu vifaru anazo.Zinalipuaje wakati ni vidogo sana
Muulize jamaa yako...kaleta madai kashindwa kuyathibitisha, sasa arusha matusi kwa udhaifu wake. Kama vipi msaidie kuthibitisha madai yake.Kwani kuna ugomvi humu???
Russia at least naye wiki za karibuni anaongeza matumizi ya drones. Mwanzoni alikuja kienyeji sanaKama mambo yenyewe ndiyo haya basi na tuseme kuna mtu mzima anakwenda kudharirika zaidi na safari hii atakimbilia kwenye nuke code moja kwa moja Frustration Tsh
Si amekuwekea clip zote mbili SI ni kusema tu angalia sekunde flani mpaka flani katika clip mpya na sekunde ngapi paka ya ngapi clip ya 2014 ...mbona ni kazi nyepesi unaifanya iwe ngumu kama kunya fenesi ndugu.basi wewe ni kichaa ukiboko wako kwenye keyboard? hebu jionee huruma basi
Wasikilize wamarekani wenzako sasa...Sijuagi kirusi....
Tusichanganye mambo tafadhali. wewe ulidai huko juu "USA alichukua utaifa wa nchi ngapi.."Ni kwamba haujui Marekani ilichukua maeneo ya Mexico !!!? Au unajizima Data tu ???
ya nini sasa? nimejibu source yake RT sifuatilii fullstop analeta bato za kitotoSi amekuwekea clip zote mbili SI ni kusema tu angalia sekunde flani mpaka flani katika clip mpya na sekunde ngapi paka ya ngapi clip ya 2014 ...mbona ni kazi nyepesi unaifanya iwe ngumu kama kunya fenesi ndugu.
Kwa hiyo unachotofautisha wewe ni Karne sio suala la kuvamia nchi jirani SI ndio ... Hii familia inayosimamiwa nawewe Ina matatizo sana.Tusichanganye mambo tafadhali. wewe ulidai huko juu "USA alichukua utaifa wa nchi ngapi.."
Ulimjibu mchangiaji aliyesema Urusi / USSR mwaka 1940 ilijaribu kumeza Finland, yaani kuirudisha chini ya Urusi jinsi ilivyokuwa kabla ya 1917.
Urusi / USSR ilifanya hiyohiyo tayari mwaka 1922, baada ya Ukraine kutangaza uhuru wake. Ilifanya vile kuhusu nchi nyingi zilizotangaza uhuru 1917 na kuzirudisha kama koloni (kwa jina "jamhuri") katika USSR.
Urusi ilirudia hatua hii baada ya Chechnya kutangaza uhuru wake baada ya 1991.
Sasa Putin alihutubia Warusi akaeleza "Ukraine si nchi halisi"
MArekani ilichukua maeneo makubwa kutoka Meksiko wakati wa karne ya 19 lakini haikichukua utaifa = kufuta Meksiko kama nchi huru, jinsi Urusi ilivyofanya na nchi nyingi wakati uleule. Hii ilitokea na nchi moja (ambayo landa hukumbuki), Marekani ilivamia ufalme wa Hawaii na kuimeza kwenye karne ya 19. Pia kwa sababu waliona Wahawaii si watu weupe, wanaweza kutendewa vile.
Marekani haikumeza nchi katika karne ya 20, lakini Urusi ilimeza. Hapa naona tofauti.
Fanya yako humu nikuvuta muda tu ... Unavyofatilia CNN, BBC, dw, unawaongeza Nini Ukraine!!?? Huu Uzi ni kama kijiwe Cha kahawa tu ... Hakuna msaaada wowote .... Labda mahistorical background na facts zingine ila kuhusu maendeleo ya vita/operation HAKUNA MWENYE MAAMUZI HUMU usitengeneze nyongo kizembe hivyoya nini sasa? nimejibu source yake RT sifuatilii fullstop analeta bato za kitoto
Subiri hao wiki chache zijazo watapambana na njaa ya kufa mtu hadi hizo bunduki hawatakuwa hata na nguvu za kuzibeba, watakuwa wanaziangalia tu kama mavi ndipo watakamatwa kama vichuchu.
nyongo kwani nalipwa πππ yaan nikerekwe na mtu ambae simjui? ujinga huoFanya yako humu nikuvuta muda tu ... Unavyofatilia CNN, BBC, dw, unawaongeza Nini Ukraine!!?? Huu Uzi ni kama kijiwe Cha kahawa tu ... Hakuna msaaada wowote .... Labda mahistorical background na facts zingine ila kuhusu maendeleo ya vita/operation HAKUNA MWENYE MAAMUZI HUMU usitengeneze nyongo kizembe hivyo
Yaani kama movie hivi kumbe kitu halisi [emoji16][emoji16][emoji16]Hizi Mambo wangefanyya Ukraine sipati picha ambavyo zingepamba CNN,BBC na mabeberu wanzao[emoji2][emoji2][emoji2]
Hawatoi Switchblade 600 nadhani. Ila Biden kauli yake ilikuwa tata alisema "drone package" sasa kwenye hiyo package hakujulikani kuna nini na nini hasa. Maana Switchblade ili ziwe very effective zinahitaji mazingira mengi kama drones nyingine.Switchblade 600 si zina uwezo wa kuharibu mpaka vifaru. Pia range yake ni 40km na zaidi.
Nakubali,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeshindwa kuonesha...siku nyingine usiwe wakurupuka kusoma kiingereza na kubeba yanayoongelewa kabla hujathibitisha kama ni kweli.
Jasho limekutoka hadi kwapa limekuwa chepe chepe kwa kutakiwa tu kuonesha mfanano wa clip mbili unazodai moja imekopiwa toka kwa nyingine na jeshi la ulinzi la Russia.
Mie ndio kiboko ya wazushi wa Team Ukraine
Mi ndio maana najibugi simple ... Ikibidi kautani kavijiweni siku inaenda.... Hapa natavuta usingizi.... Nshakula zangu michembe na mtindi... Mrusi wa Ishokelonyongo kwani nalipwa πππ yaan nikerekwe na mtu ambae simjui? ujinga huo
Mkuu T14 Armata samahani, kama waweza kumsaidia GANGA ZUMBA hapo juuππ naomba fanya hivyoMuulize jamaa yako...kaleta madai kashindwa kuyathibitisha, sasa arusha matusi kwa udhaifu wake. Kama vipi msaidie kuthibitisha madai yake.
Clip hii πππ imetolewa na wizara ya ulinzi ya urusi namna wakishambulia Ukraine
Jamaa yako GANGA ZUMBA, anadai kuwa hiyo Clip imekopiwa kutoka humu πππ
Swali ni kwamba aangalie clip zote mbili, kisha anijuze ni sekunde ya ngapi hadi ya ngapi zimekopiana.
Yeye (aliyeleta madai) kashindwaπ€£ππππ
Wewe kama waweza msaidie uokoe jahaziπππ