Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Kwanini tunaendelea kuwasikiliza hawa [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Wakiita chafu Safi na sie hao tunafata bila kuhoji.. wakiita Safi Chafu na sie hao tunafata bila kuuliza...

Why
Whyy
Whyyy
Whyyyy
Whyyyyy
Whyyyyyy
Whyyyyyyy [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Propaganda zimekufisha hata ule uwezo mdoogo wa kutafakari mambo!

Wajanja duniani wanunue mafuta ya Russia ambayo kimsingi thamani ya bidhaa hiyo ipo chini ya madini ya dhahabu. Halafu wakatae kununua dhahabu eti kwa kuwa Ukraine anachezea kichapo!
 
Tunajua Ukraine yupo vizuri na hii yote ni baada ya USA kumjenga kijeshi kwa mda mwingi ila akumbuke tu Urusi sio level yake. Amuulize vaba yake USA na mama yake NATO achana na dada zake Poland na UK na Ufaransa
kiasili Ukraine ni wapiganaji Wazuri was vita,wako kwenye rank ya wa afaghnistan Yemen,Iran,, yaani hizi Namba mnaweza pigana hata miaka 100,hawakatagi tamaa
 
No Vax, no Food...

Your browser is not able to display this video.


Ukraine [emoji1255] govt announce emergency payments to those impacted by war. But only if you double jabbed.. & payments have to be made through a new digital currency system... [emoji102]

Ukraine [emoji1255] Serikali yatangaza malipo ya dharura kwa wale walioathiriwa na vita. Lakini tu ikiwa umepiga chanjo mara mbili.. na malipo yanapaswa kufanywa kupitia mfumo mpya wa sarafu ya kidijitali... [emoji102]

Ukweli utadhihirika tu wakati ni mwalim mzuri siku zote. Sasa tunaweza kuona hii tunayoita migogoro lengo lake ni nini hasa.
 

Ha ha ha!! Mumeishia kuongea kuhusu ndege, Kiev imeshindikana ile ambayo tulitegemea inyakuliwe kwa siku tatu.
 
Mwaka 1810 tayari Marekani ilikuwa ni nchi kama ilivyo leo.
 
duh sasa kuchanja na kuathilika kwa vita kunaingilianaje au ni mimi ndio nashindwa kuelewa
 
Ha ha ha!! Mumeishia kuongea kuhusu ndege, Kiev imeshindikana ile ambayo tulitegemea inyakuliwe kwa siku tatu.
Ni fedheha nchi iliyokuwa na pisi 250 za S-300 air-defense systems, leo haina hata pisi moja (zote zimashaangamizwa na Russia), matokeo yake mji wa Kyiv washambuliwa kiholela kwa makombora na kugeuzwa magofu na vifusi


 
Aiseee kazi tunayo sana duniani.... Ukikosana na Marekani imekula kwako
 
Ha ha ha!! Mumeishia kuongea kuhusu ndege, Kiev imeshindikana ile ambayo tulitegemea inyakuliwe kwa siku tatu.
mategemeo ni yenu ..........yatimizwe na wengine.....................mpango mzima ni kuimega tu hio nchi halafu uwaachie magofu yao wayafufue,.................ikishabebwa mariupol kazi kwisha
 
Vita vya Ukraine vinaisha keshokutwa...

BBC, wakiwakoti maafaisa wa Wizara ya Ulinzi ya Ukraine, wanasema kuwa Russia ina silaha na chakula cha wanajeshi vya kutosheleza siku zisizozidi tatu tu (leo, kesho na kesho kutwa)...

Mwambieni Zelensky hilo ni jambo jema, ngoja tusubiri mtondogoo tuone mambo yanakuwa shwari Ukraine. Na yeye sasa akae kimya aache kulilia mazungumzo na Putin

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…