Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huku kwenye uchumi huna unalojua kaka, turudi kwenye Vita kwanza, vp Urusi bado anatumia zana za zamani au ameanza kutumia za kisasa??
 
Aiseee kazi tunayo sana duniani.... Ukikosana na Marekani imekula kwako

Shida marekan amewateka hadi ubongo mnafikir yeye ndo kila kitu, utawala wake upo mwishoni kuanguka kiuhalisia Dunia kwa sasa haipo na mmarekani ila ni uoga tu.

Mataifa yana pretend yako pamoja naye ila kiuhalisia sio kweli nchi nyingi zinanyonywa sana mmarekani ni shetani mpaka tunafika 2025 Dunia itakua imebadilika.
 
Safi kabisaaa
 
Wapumbavu humu wanasema vikwazo dhidi ya Russial vitafanya wananchi wamtoe madarakani.
Sipati picha hii kitu ingetokea Russia😄😄😄😄😄😄😄 mabeberu wangeanzosha mijadala juu ya mijadala
 
Guys, nini kinaendelea sasa! Nimefatilia hadi kuchoka, naona waukraine watapigwa hadi kubaki magofu, watakuwa na magofu kama huko Taliban.
Ukraine katika magofu is still miles ahead of Tanzania in peace. $400bn of Russian frozen assets will repay the damage of infrastructure.
 
Wewe ndo unajua mipango ya Russia? Ila kuna watu humu ndni ni bogus kweli. Kuna sehem Russia alisema atatumia siku3 kwenye hii operation?

Mlituambia special operation, leo yameshindikana mnaomba usaidizi Syria, China na India hata Afrika...useless kabisa.
Hata Waarabu wenye dini yao kwenye hili wameshangaa sana.
 
Ukraine to continue gas transit from Russia as long as it is technically possible - head of Naftogaz

"The issue of transit through Ukraine to Europe is very complicated. It is being discussed at the highest political level and not only in Ukraine," Yuriy Vitrenko said in an interview with Bloomberg TV.

The head of Naftogaz also said that Russian forces during the special operation are trying not to damage the infrastructure through which gas is transited through Ukraine.
 
US sends Soviet air defense systems to Ukrainians - The Wall Street Journal

According to the publication, the Pentagon has been acquiring Soviet equipment for years as part of an underground program.

Air defense systems, which include the Osa complexes, are already several decades old. They were secretly bought by the US to study Russian military technology and are now being transferred to Ukraine.
 
Morning briefing of the Russian Ministry of Defense - the main thing:

▫️ Russian aviation strikes 137 Ukrainian military facilities in a day
▫️ air defense systems shot down 14 Ukrainian drones, including one Bayraktar
▫️ Ka-52 and Mi-28N helicopters during night strikes destroyed 9 tanks, seven infantry fighting vehicles and armored personnel carriers of the Armed Forces of Ukraine
▫️ Since the beginning of the special operation, 230 Ukrainian drones and 181 anti-aircraft missile systems have been destroyed
 
Unadhani mimi sifahamu kama kuna Mtanzania kule NASA,unajiona mjanja sana kwa kutuletea habari za Google ukidhani unazijua peke yako,ningekuona wa maana sana ungeniletea at personal level ya kumjua Binti Mashiku na siyo kunivutia mipicha ya Google,haya mbele tembeaaa kushoto kulia.
 
Huyu Rais wa Ukraine amekubali kukaa na kuyamaliza na Rais Putin. Hali imekuwa tete kwa upande wake na naona kama walioahidi kumsupport ndio wamemponza zaidi.

Washauri wengi wanamlaumu kwanini hakutaka maridhiano mapema mpaka watu wamekufa wengi kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…