Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

China urges U.S. to put aside arrogance, face up to its human rights problems
​

China urges the United States to put aside its arrogance and prejudice, face up to its human rights problems and make concrete efforts to improve the human rights situation within the country, foreign ministry spokesperson Wang Wenbin said on Monday, International Day for the Elimination of Racial Discrimination.
 
Nilikuwa nasikiliza asubui hii yule comedian anataka mazungumzo na Putin kwa namna yeyote iwe kuonana au online, ofa yake anajitoa kwenye mpango wake wa kujiunga NATO, kwa hakika Putin ni mtu wa vitendo
 
Rates at the start of today's trading:

[emoji3503] 1 dollar - 3.2711 rubles
[emoji3503] 1 euro - 3.5983 rubles
[emoji3503] 100 Russian - 3.1348 rubles
[emoji3503] 10 Chinese yuan - 5.1459 rubles
Jomba hii rate ipo sawa kweli?
Nna mashaka kidogo au either typing error em rudi kuitizama vizuri Dollar 1 ipo kwa around 101Rubles...
 
Right on the money
 
Reactions: Tsh
Hivi mbona mpaka leo ni haya makelele yenu, Urusi bado hajaichukua Kiev.
Kwani walienda kuchukua kiev? Unachukuaje jiji,? Utaliweka wapi? Mifukoni? Au ulikua unamaamisha nini?

Special operation ilikua ina malengo matatu, moja denezafication, demilitarization na kuondoa possibility ya Ukraine kuingia NATO.

Wanazi wanapigwa sana so the deal is done, vituo na kambi za kijeshi Ukraine vimepigwa mno, tena na silaha nzito mfano kambi iliyopo mpakani na poland, so also the deal is done.

Cha mwisho ni serikali ya Ukraine kukiri na kuweka kwenye katiba kua kamwe hawatajiunga Nato, pia watambue Donbase na Luhansk na crimea kua ni majimbo huru. Hili ndio linalowapa pressure but hakuna shaka watakaa na kukubali tu. Tusubiri muda.

The irreplaceable
 
Propaganda zimekufisha hata ule uwezo mdoogo wa kutafakari mambo!

Wajanja duniani wanunue mafuta ya Russia ambayo kimsingi thamani ya bidhaa hiyo ipo chini ya madini ya dhahabu. Halafu wakatae kununua dhahabu eti kwa kuwa Ukraine anachezea kichapo!
Marekani na Uingereza zimesema hazinunui dhahabu ya Urusi. Propaganda unazisema wewe hapo wao wamesema hawanunui wewe na Tekno yako unaita propaganda. Hizi akili hazifai hata kutumia kuvukia barabara.

Mafuta ya Urusi Marekani ananunua?
 
Propaganda zimekufisha hata ule uwezo mdoogo wa kutafakari mambo!

Wajanja duniani wanunue mafuta ya Russia ambayo kimsingi thamani ya bidhaa hiyo ipo chini ya madini ya dhahabu. Halafu wakatae kununua dhahabu eti kwa kuwa Ukraine anachezea kichapo!
Unajua we jamaa ni ngumbaru. Yani hapo hujaona kama nimesema UK na US? Kwani hiyo ndio dunia nzima, hiyo dhahabu wauzieni South Africa na Brazil si wako BRICS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…