Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Rates at the start of today's trading:

▫️ 1 dollar - 3.2711 rubles
▫️ 1 euro - 3.5983 rubles
▫️ 100 Russian - 3.1348 rubles
▫️ 10 Chinese yuan - 5.1459 rubles
What kind of nonsense is thisπŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† Niliwaambia huyu jamaa ni mtu useless sasa jioneeni wenyewe.
1$ = 104.12 ruble
1ruble= 1.1 kenya shilling πŸ’ͺ
 
soma comments humo jamaa kumbe ni fisadi sana anaiba mali za wananchi bata lake anaenda kulilia west
kwanini asibakie huko urusi hakuna maisha? πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nilikuwa nasikiliza asubui hii yule comedian anataka mazungumzo na Putin kwa namna yeyote iwe kuonana au online, ofa yake anajitoa kwenye mpango wake wa kujiunga NATO, kwa hakika Putin ni mtu wa vitendo
PUTIN anatakiwa akatae kwanza aendeleze dozi
 

Mumebaki kuandika hizi insha, halafu kuna taarifa chakula na supplies za Warusi zmesalia za siku tatu tu, kuanzia hapo itakua mwendo wa njaa na kuliwa shaba.
 

Piga makima mpaka tuweke na rais wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…