T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Japan ana nafuu. China ana mgogoro karibia na kila jirani ukiachana na North KoreaHata China na Japan wana mzozo wa visiwa.
Korea Kusini na Japan pia wana mzozo huo huo wa kisiwa.
Kwanini Japan ana mizozo mingi ya visiwa na nchi za hilo eneo?
Wewe jamaa banaUrusi hawezi goma kuwauzia gesi, atakula wapi wakati sekta nyingi ana vikwazo? Na Ulaya hawawezi acha kutumia gesi ya Urusi watafeli uchumi. Urusi akilogwa akagoma uza gesi watafeli uchumi kwa muda watafuta sources nyingine na zikikamilika asahau hiyo biashara, hayo mabomba Nord Stream yatakosa kazi.
Mara chache sana mzalishaji anamdindia mteja ambaye anaweza kutumia options nyingine hata kama ni za gharama kubwa na akamuacha mzalishaji hana pa kufidia hayo mauzo.
Najua pro-Putin mtakuja na hoja kwamba gesi wataiuzia China. Kwani miaka yote mlikuwa mnauza Ulaya China haikuwepo. Huwezi ipatia China gesi kuzidi kiasi inachohitaji
Waswahili munataabu sanaaaLabda watabadilika na kujirekebisha...
Kinachonishagaza hapa ni hiki... Real American tena wazawa.... Walio na National ID ya US... Wanao hodhi US passport mkononi... Wanaoishi kwenye taifa lao wenyewe so mwenendo wa taifa hawasimuliwi na mtu zaidi ya kujionea wanazungumza haya...
View attachment 2160739
Na haya
View attachment 2160741
Na hivi
View attachment 2160742
Na vile
View attachment 2160743
Kisha Mmarekan wa buza baada ya kuangalia picha zake za Hollywood anakuja kukwambia USA hatetereki na haya mashudu anayoyafanya kwa sasa [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kweli Mswahili ni mswahili tu...
I hate this xenophobiaWewe mkenya unashupaza shingo na "Kiev mmechukua" huko wenzio wanaendelea kupokea kipigo [emoji1787]
Kwahiyo kombora linapimwa nguvu kwa idadi ya watu lililoua?Huu ni ujuaji uliopindukia
Kombora linafukua andaki na kuwazika wanajeshi wa ukraine zaidi 300 hapo hapo
Muda utaongeaSio kweli ... Warusi wanachapika bwana
Unapukuwa makumaku unakuwa tu mwehu ... Hata nimesema miaka hiyo huyo mwehu wenu si alikataa hakukuwa na Taifa la marekani ... Miaka hiyo ... Ukiwa unaamka Kwa shemeji yako ni heshimu ...nikimuacha dada yako unakosa na wewe unaachika na unakosa makazi..niheshimu nnapoMBATO dadaako sawa.... NtawaaachaPale unapowafokea watu kwa kujiamini kabisa,kumbe ndiyo kwanza umepuyanga 😂
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]punguza jazba mkuu .....utafanya azimie bure...Unapukuwa makumaku unakuwa tu mwehu ... Hata nimesema miaka hiyo huyo mwehu wenu si alikataa hakukuwa na Taifa la marekani ... Miaka hiyo ... Ukiwa unaamka Kwa shemeji yako ni heshimu ...nikimuacha dada yako unakosa na wewe unaachika na unakosa makazi..niheshimu nnapoMBATO dadaako sawa.... Ntawaaacha
Kama ungefahamu 'SARCASM" usingenijibu ulichonijibu ... Kwa nilichojibu na ukanijobu ..karibu ...Muda utaongea
kama kisukari kimepanda hivi mambo madogo ya mtandaoni unatukana mtu usiemjuaUnapukuwa makumaku unakuwa tu mwehu ... Hata nimesema miaka hiyo huyo mwehu wenu si alikataa hakukuwa na Taifa la marekani ... Miaka hiyo ... Ukiwa unaamka Kwa shemeji yako ni heshimu ...nikimuacha dada yako unakosa na wewe unaachika na unakosa makazi..niheshimu nnapoMBATO dadaako sawa.... Ntawaaacha