Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani always ilikuwa inasema Russia atatumia gesi kama leverage kwenye mgogoro, UK walivyo na chuki dhidi ya Russia hawakuitegemea. Ujerumani inapenda amani haikuwa na shaka nao, Ujerumani inanunua kiasi kikubwa kwao. Sasa wakilazimishwa wajifikirie zaidi miaka ijayo wakiamua vinginevyo itakuwa na athari, ni kama Saud Arabia wakiamua wauze mafuta kiasi kwa Yuan
 
Tangu ulipoleta taarifa kuwa huyu Deadliest Sniper kafariki,hakuna anaekuamini tena
 

Huyu apigwe tu hamna namna
 
Kati ya members 15 wa Security Council ni Russia na China tuu ndio wamepiga kura,wengine wote 13 hawajapiga kura. Hapa ndio mnasema Russia ana ushawishi,labda ushawishi maandazi.
UN security council ina member 5 ambao ndio wa kudumu, hizo kura hazisaidii maana watalazimika kuingia kwenye hao watano afu unakuta wawili wamesema hapana.
 
ndo maana uk uchumi wake haufui dawa kwa ujerumani
 
UN security council ina member 5 ambao ndio wa kudumu, hizo kura hazisaidii maana watalazimika kuingia kwenye hao watano afu unakuta wawili wamesema hapana.
Kumbe hujui kitu. Security Council ina members 15. Ambapo 5 ni permanent members na 10 non permanent members. Ili resolution ipite bila kuathiriwa na kura ya veto inahitaji wastani wa kura 9 za ndio, kwa hiyo ikipigwa kura ya ndio chini ya hizo kura 9 mswada haupiti. Ndio maana hapo China na Russia wamejikuta wana kura mbili tuu huku wengine wakiwa abstained.
 
Urusi wanajua kila kinachoendelea mkuu,na nadhani at time "t" watakasirika na kutumia nuclear weapons.Tuombe Mungu tusifike huko,ila hali ni tete sana.
Vita ya Nuclear ni mbaya.
 
Kwa jinsi wapiganaji wa Urusi wanavyoangamia ,changamoto nambari wani ya NATO ni kutokuwepo vikosi yva Urusi kukabiliana navyo baada ya vita vya Ukraini. Zelensky anamaliza kazi.
 
Huyu Rais wa sasa wa South Korea anaonekana kichwa ngumu Sana,afanye atulie Dunia haitaki kushuhudia Vita nyingine baada ya hii ya bara Europa.

Huyu ndo Rais wa Korea ambae anasapoti preemptive strike kwenye nuclear sites za NK.
Naona Kiduku kapata Kichaa mwenzake,safi sana piga nikupige.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…