Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Emu lete idadi ya Raia ambao sio wanajeshi waliofariki toka Urusi aanze operation ya kijeshi Ukraine-na ulete takwimu ya vifo vilivyotokea Libya ndani ya mwezi mmoja toka NATO waivamie Libya/Iraq kisha tufanye comparison kuona nani anaua au aliua Raia?
 
💬#Antonov: The 🇺🇸 attempt to arrogate to itself the right to judge who is a "war criminal" is repulsive. A country on whose conscience lies hundreds of thousands of ruined lives around the world, destroyed states, dozens of humanitarian disasters can not define itself this way.
 
Hivi ni kweli?
 
Huyu Rais wa sasa wa South Korea anaonekana kichwa ngumu Sana,afanye atulie Dunia haitaki kushuhudia Vita nyingine baada ya hii ya bara Europa.

Huyu ndo Rais wa Korea ambae anasapoti preemptive strike kwenye nuclear sites za NK.
Yani Vita za Wazungu unaita ya Dunia??,mbona unatulisha matango poli.
 
Lukashenko: Poland's proposal to send a Western peacekeeping contingent to Ukraine is fraught with a third world war - BelTA
 
Russia and Iran are working on unification of financial messaging systems bypassing SWIFT -Iranian Ambassador in Moscow.
Hapa badaye inaingia China,India,Venezuela, Syria na baadhi ya mataifa yanayozalisha mafuta,tumaliza kabisa mambo ya USA $ dominance.Hapo ndio watu watajua uchumi wa USA unalingana na wa Nigeria.
 

Russian stocks rebound after markets reopen​

Trading was suspended since February 28.

Russia’s stocks continued to rise sharply on Thursday as the Moscow Exchange reopened for limited trading this week, after suspending most of its transactions on February 28.

The ruble-based MOEX benchmark went up more than 11% to 2,743 points. The dollar-denominated RTS index of leading Russian stocks was down slightly, to 888.59 points.

The Moscow Exchange resumed trading in 33 Russian equities, including shares of Gazprom, Sberbank, Aeroflot, and other domestic firms. Oil majors Rosneft and Lukoil were both up by 20% and 16%, respectively. Aluminum company Rusal rose more than 14%, while Norilsk Nickel jumped more than 22%.
 
Hapa badaye inaingia China,India,Venezuela, Syria na baadhi ya mataifa yanayozalisha mafuta,tumaliza kabisa mambo ya USA $ dominance.Hapo ndio watu watajua uchumi wa USA unalingana na wa Nigeria.
Mwanauchumi usiyejua uchumi
 
Mbona USA anatumia matumizi ya hela yake kama leverage against Nchi nyingine.Watu wanaweza wakaa wakakubaliana kutotumia$ lakini hawawezi kukaa kutokubaliana wasitumie Nishati(mafuta&gesi).
By the way USA alikuwa anajipigia debe ili Germany anunue Gas yake.
 
Your browser is not able to display this video.

⚡️RT Exclusive from Mariupol


Footage given to RT shows the Russian military and militia from the Donbass Republic clearing houses from nationalists.
 
Habari mbaya sana hii kwa mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…