Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Mpango wa siri wa Poland kupeleka kupeleka askari 10,000 wa kulinda amani Ukraine umeliki. Russia imewaambia wajaribu kuingiza pua zao Ukraine hata kwa mita 10 tu, Russia itaigeuza Poland kuwa majivu na vifusi ndaniya sekunde 2 tu.
Kichapo kitahusisha makombora ya haipasoniki (hayazuiliki na mifumo ya anga), na Russia ipo tayari kutumia vichwa vya nyuklia dhidi ya Poland na nchi za Balic (Estonia, Latvia and Lithuania).
Natamani Poland ajichanganye apeleke askari Russia impatie zawadi yake, maana Poland ina kiherehere utadhani binti aliyevunja ungo hivi punde tu.
=====
View attachment 2162975
View attachment 2163001
Asante Mtunza ghala la Mabomu ya Russia.Russia pekee ana makombara yanayofikia Nusu ya makombora yote duniani. Unaposema NATO anayo mengi una maana gani? Halafu pia ukumbuke Russia anapigana pekee yake dhidi ya nchi 28 ambazo kiuhalisia hazifui dafu mbele yake
Bado mawili: Ukinijibu tafadhali soma kwanza nilichoandika. Nilitaja roketi za trident tu,ambazo hazifikii 12,000. Ziko nyingine zilizopangwa katika vituo chini ya ardhi, zinafikia juu ya 12,000. Kwa jumla tofauti hiyo ni bure, zinafika kila mahali katika maeneo ya Urusi (au Marekani)Wakati ukizungumzia hizo nyuklia za Marekani ambazo Max zaweza fika umbali wa km 12,000, nyuklia za Russia zaweza kufika umbali hadi wa km 16,000.
Kisha tusitishane bwana, nyuklia zikipigwa huko Marekani au Ulaya, sio Tanzania tu bali hata kijiji kimoja cha Tanzania hakiwezi kufa kwa shambulio hilo. Ardhi ya Marekani ikigeuzwa majivu, sio kigezo cha udongo wetu kukosa rutuba mpaka watu wafe njaa.
View attachment 2163033View attachment 2163032
Sawasawa.... 👍Wadau mabishano ya humu jukwaani mda mwingine yanashangaza kwenye suala la silaha za nyuklia ,hizi silaha za nyuklia mataifa makubwa ya nato yanazo ukiachana baba yao USA,sasa mimi nashangaa kila siku russia anazo anazo tena kubwa,cha msingi hapa ni kuepuka hii kityu isitumiwe ikitumiwa huruma yangu iko kwa Moscow
Waambie hao wanaolishwa propaganda na PutinWadau mabishano ya humu jukwaani mda mwingine yanashangaza kwenye suala la silaha za nyuklia ,hizi silaha za nyuklia mataifa makubwa ya nato yanazo ukiachana baba yao USA,sasa mimi nashangaa kila siku russia anazo anazo tena kubwa,cha msingi hapa ni kuepuka hii kityu isitumiwe ikitumiwa huruma yangu iko kwa Moscow
Hahaha una uhakika? Embu google hapa alafu share nasi screenshot. Cha kukumbusha tu, miji ya crimea, Donetsk luhansk imeenda... mariopol, odesa, na kharkiv ndio wanamalizia kuondoa raia waichukue kabisa. Unadhan Zelensky analia bure anaposema Nato haiana nguvu... amepigwa.Sasa kama chumbani mbona hakuna Mji wa maana alioteka hadi leo hii?
Taarifa zitokazo vitani huwa ni conflicting sometimes. Hazitaki kukurupuka kila kitu kuchukua bila evidence. Na taarifa nyingine kila upande zinakuwa na makosa clarifications zinaweza toka baadaeMkuu wewe n mnato ila nimekupa like kwA sababu habari ya kupigwa meli yenu wa rusia wa kamtimbo katavi Bado haijathibitishwa (ujaipata)
Ila jana nimeumia kuona yule mdunguaji mahiri bado yu hai
Wazidi kudhihirisha ujinga wako...sisi hatujadili point hiyo...Mkuu mimi si kipokopi ovyo.. Umetaka kuonyesha unajua sana.
Sasa jua kwamba makombora ya bara hadi bara sio lazima yatoke USA moja kwa moja. Yanaweza kutokea baharini (Submarine) kwa umbali mdogo sana wa nchi husika, hizo km ni yaliyo ardhini tu.
USA anaweza kupiga kombora la nyulkia Russia kutokea bahari ya japan,(3,000km) likitoka kwenye nyambizi.
Atapiga ila na yeye atapigwa sana.Wadau mabishano ya humu jukwaani mda mwingine yanashangaza kwenye suala la silaha za nyuklia ,hizi silaha za nyuklia mataifa makubwa ya nato yanazo ukiachana baba yao USA,sasa mimi nashangaa kila siku russia anazo anazo tena kubwa,cha msingi hapa ni kuepuka hii kityu isitumiwe ikitumiwa huruma yangu iko kwa Moscow
Huelewi zaidi ya ushamba na ushabiki....................Wazidi kudhihirisha ujinga wako...sisi hatujadili point hiyo...