Empty head pekee ndo ana weza jibu kijinga hivi...una ujua uhusiano wa japani na US wewe acha mihemkoMkuu naona bado upo ndotoni amka usije kujikojolea, hivi kwa akili yako kabisa unategemea Vita kamili ianze halafu Japan awe upande wa USA amabaye aliua watu wake maelf kwa maelf kwa mabomu ya Nyuklia basi labda siku hiyo Viongozi na Wananchi wote wawe wamelala kama wewe.
Mkuu hivi unategemea Vita kamili ianze na Japani ambaye watu wake waliuwawa maelf na maelf kwa mambomu ya Nuclear na USA,awe upande wa USA labda siku hizo viongozi na Wananchi wa Japan warogwe.
Iwapo vita kamili ikitokea Nchi pekee kutoka Asia inayoweza kuwa upande wa USA ni South Korea-na sidhani kama wataweza Ku support kwa chochote maana Kiduku atakuwa anawapumulia kisogoni,China na Japani kwa pembeni.
Wewe ndio unaamini hivyo. Wao waendelee na vikwazo na kupeleka silaha, ila Russia pale Ukraine hatoki leo wala kesho. Pia Ukraine Ukraine kamwe hawatajiunga Nato wala kua na silaha kali. Huu ndio msimamo
Kama hawa viongozi wetu wa Kislam?Malkia Elizabeth naye tunasubiri hawezi akamaliza mwaka.
Mzee hivi unajua kwanini NATO na USA wanaogopa kuingia vita na Russia!? Hivi unaichukulia Russia kama Libya au Iraq!?Uvyo shabikia utathani izo nyuklia wanazo Russia pekee.afu Kila Russia ikitishwa inakimbilia kwenye vitisho vya nyuklia?
We unatetea wana sijui mikataba .....mbonabwao wana vunja mikataba wazuri tu ......marekani kupeleka silaha poland za makombora ...lithuania ....marekani hajavunja mkkataba ..waliowekeana ...ila russia kujiamulia namna ya kutumia hela yake imekuwa nongwa ....alafu wewe usipojua au kuijua hela ya urusi wewe inasaidia nini wenzako urusi wqnalinda maslahi yao ...na mipaka yaobya nchi .....wewe kimburukunye huku ...mbgala kimbangulile ...unatakabkupasuka nyongo .....kiazi wewe..[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]...kaa na utulie....mbaavMwambieni Yerrico huko aliko ni kwamba Putin alivyosema leo eti gesi na mafuta yake yatanunuliwa tu kwa hela yao ya ndani - ni kichekesho. Kwanza hela yenyewe hata mie siijui..
Wakuu yaani hela yao haijulikani jamani...atanyooka tu, tunzeni post hii
Sababu kuna mikataba kwamba watalipanlwa kwa uro na dola....labda kwa mikatqba mipya.
Mwambieni kauli za Rais si sheria..
Aanze na huyuRussia yawaambia NATO kuwa wakirogwa kujitia kupeleka kikosi cha kutunza amani Ukraine, atawatwanga na ndio itakuwa vita ya tatu ya Dunia
Ninachompenda Putin, huwa akikuonya ukakaidi, anakupatia kile alichokuahidi...hana longolongo
View attachment 2162671
NATO hawajazidiwa na Russia, Marekani peke yake anaizidi Russia kwa KILA KITU ila wanafahamu wanadili na mwendawazimu anayeweza kuleta maangamizi ya dunia yote akiendewa vibaya.Kaka uchumi sio kila kitu katika uvumbuzi,mwenye maarifa anaweza kutumia Tshs.10 kuunda kitu Fulani na asiye na maarifa akatumia Tshs .100 kuunda kitu hicho hicho.
Angalia Nchi zote tajiri ulimwenguni hizo za NATo+USA na utajiri wao wote na technology zote walizo nazo wanazidiwa na Nchi mmoja-sababi kubwa ni mmoja tu watu wa Urusi wana maarifa zaidi yao.
Aah wapi. Kama ndizo mlizo nazo hizo mjitathimini upya.Mzee hivi unajua kwanini NATO na USA wanaogopa kuingia vita na Russia!? Hivi unaichukulia Russia kama Libya au Iraq!?
Warusi technology yao siyo ya dunia hii, wapo mbele miaka 20. S-300 ilitengenezwa 1978 lakini mpaka sasa ni tishio.
Mkuu naona bado upo ndotoni amka usije kujikojolea, hivi kwa akili yako kabisa unategemea Vita kamili ianze halafu Japan awe upande wa USA amabaye aliua watu wake maelf kwa maelf kwa mabomu ya Nyuklia basi labda siku hiyo Viongozi na Wananchi wote wawe wamelala kama wewe.
Mkuu hivi unategemea Vita kamili ianze na Japani ambaye watu wake waliuwawa maelf na maelf kwa mambomu ya Nuclear na USA,awe upande wa USA labda siku hizo viongozi na Wananchi wa Japan warogwe.
Iwapo vita kamili ikitokea Nchi pekee kutoka Asia inayoweza kuwa upande wa USA ni South Korea-na sidhani kama wataweza Ku support kwa chochote maana Kiduku atakuwa anawapumulia kisogoni,China na Japani kwa pembeni.
Sawasawa..NATO hawajazidiwa na Russia, Marekani peke yake anaizidi Russia kwa KILA KITU ila wanafahamu wanadili na mwendawazimu anayeweza kuleta maangamizi ya dunia yote akiendewa vibaya.
Hajui mshamba huyoo...Mpaka wakati huu Marekani ina wanajeshi 50,000 Japan kwa ridhaa ya bunge la Japan kusaidia ulinzi wa nchi dhidi ya mahasimu wao China na mwendawazimu mwingine Kiduku anayewaua njaa raia wake huku akifyatua makombora hovyo kila siku.
Pro Russia wengi ni weupe kichwani,wao wanachojua ni Supersonic Missile na nuclear tuu. Kuna mmoja anakwambia U.N Security Council ikipiga kura kunakuwa na session ya Wale 5 permanent members kupiga kura kivyao wao kama wao.Uko nje ya ufahamu!! Hujui kuwa USA ana kituo cha kijeshi japan!!
Ndio maana mnabishabisha kumbe weupe..
Hujui pia nyambizi za nyuklia ziko maeneo tofauti pembezoni mwa Japani...
Nimekuuliza swali kwanini NATO na USA wanaogopa!?Aah wapi. Kama ndizo mlizo nazo hizo mjitathimini upya.
Labda unimwagilie maji ya squattersUkikua utaacha.
Baada ya jibu umerudi!!?? Kenge maji wewe.... Njoo tena KIZEMBE ... Mi sijibiwi kikahawa.... Ukinichallenge jipange... Lakini nikikujibu kachumbali fresh ukilet viazi maisha yanaenda ...ila ukija na madharau ..ntakujibu utapotea ...nimekujibu nipe majibu !!? Mimi ndio mtoto wa nzi... Nimezaliwa kwenye minuko ...Una google???!!!!! 😂 😂 Silos sio kombora mkuu..
(ICBL zinakaa huko)
Punguza usnitch mzee ...unaweza toka nyongo kwa roho mbaya ulionayo juu ya moscow..Warussi washaanza kimbia na vita viko Ukraine [emoji16][emoji16]View attachment 2163284
Al jazeera haina utofauti na BBC. Hawajaanza kuegemea magharibi kwenye mzozo huu tu kuna historia ndefu ya al jazeera kutumika kueneza propaganda kuanzia vita vya Iraq mwanzoni wa miaka ya 2000, Libya, Syria na sasa Urusi.
Habari za palestine ndio kidogo wanajitahidi kubalance.
Hawajataka iishe. Mrusi ameshatoa masharti yake ili iishe kinahitajika nn. Ni suala la kufuata masharti. Mpaka sasa hayajafuatwa na mrusi hajaichukua Ukraine.Sio hawataki iishe, wanaona aibu na Dunia itawaangaliaje? So wamebaki kupiga kelele tu.