Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Majira ya wakati ni kitu ambacho kipo dhahiri kabisa kiunabii. Vita na tetesi za vita ni kitu ambacho pia kilitabiriwa muda mrefu uliopita.

Angalizo kuu tu ni kuwa vita hii isiponyoke umiliki wa wahusika wawili ambao ni Russia na Ukraine. Endapo ikifikia kiwango cha kumuhusisha Iran na Israel, "every thing will be over"

Take note that, Iranians are keenly, ambitious and willingly to unveil Mahdi. And actually they will do. The aftermath of this war will decide whether or not, the world is ready to usher in the era of anti Christ.
 
Putin angekuwa hana Nyuklia huu uvamizi NATO wangeumaliza ndani ya wiki moja tu.
Tatizo ni kwama wana dili na mwendawazimu aliye tayari kuipeleka dunia yote kwenye Nyuklia Amargeddon.
 
Hakuna silaha aliyo nayo Russia ambayo Uingereza hana, tena za teknolojia za juu zaidi. Hakuna silaha aliyeo nayo Russia ambayo mwanachama yoyote wa NATO hawezi kuipata US au kwa mwingine yoyote.
Russia anachowea kuwazidi nacho ni wingi tu lakini wingi nao wa hausaidi kama umezidiwa akili.
Muache kufikiri na kuuliza nonsense.
UK Wana hypersonic?Mnaropoka sana
 
Baada ya kikao cha leo cha Nato, je ukraine kuna msaada wowote utamuokoa? Nini kinakwamisha Nato kuingia ukraine kumsaidia?

Rais Zelensky ameomba zaidi ya mara 10 msaada wa no fly zone na kujiunga Nato, kwanini wanamtema kiana?

Mbona Libya Nato waliingia? Je libya alikua mwanachama wa Nato? Mbona iraq nato walienda? Nini wanaogopa kuingia Ukraine? Mwenye majibu yalionyooka tafadhali.
 
Vaisi vesaa ....uk / us ..ukitoa nyuklia hawana kitu mbele ya moscow ...ndo uhalisia ulivo....
Subiri waje watakutukana. Toka enzi na enzi vita vinapiganwa kwa silaha kulingana na zama husika. Zama hizi ni za nuclear na zitatumika tu Pro NATO watake wasitake yaan wakijitekenya ni kubonyeza button tu kutokea Moscow na kufuatilia runingani
 
Sasa fanya uchambuzi kuhusu Putin kukaa umbali wa mita mia moja kutoka viongozi wake wakuu wa serikali na Jeshi huku akiwafokea kama watoto wanapojaribu kumpa mawazo mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…