Speed ya Rais Samia inawatisha wengi, wazungu wamefilisika

Fanya kazi, usimtetee muuaji
 
Maneno meeengi, kujaza tu saver. Wenye busara walishasema, "Matendo ya mtu humuelezea vyema kuliko maneno ya wanaomshangilia."
 
Hivi huyu ana akili kweli? Nisaidie Kisura wangu Lamomy
 
Nyie machawa ndo mnampoteza Rais..badala ya kumshauri,nyie muda wote mnaimba mapambio ili mpate mkate wenu. Ningekuwa Rais ningependa zaidi watu wanao nikosoa na kunishauri,,ningepiga marufuku Michawa michumia tumbo
akikosea tunamwambia kile alichokosea na akipatia tunamwambia kile alichokikosea. Kwenye jamii wapo watu wenye uzoefu wa kuongoza na wenye uzoefu wa kuongozwa pia. Tunajua speed ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kwenye wakati wao na mazingira yao.

Magufuli alikuwa na kasi kubwa lakini shida yake alikuwa mono na machenical. Yaani aliacha vitu vingine akaenda na kitu kimoja tu cha ujenzi na alitumia maguvu mengi kupata matokeo kidogo sana.
 
Wewe ni mpumbavu? Unajua kwamba Dar hakuna maji safi na salama ya kunywa tangu October?
Unajua kwamba wananchi huko mitaani wanajichimbia visima Ili wapate maji ya kunywa bila hata kupiga kwa mkemia?
Kwahiyo mlitaka mama akojoe mito ijae yafike nyumbani kwako? Yaani mmekuwa kama watoto waliobemendwa hamtaki kusiliza maelezo ya wataalamu wala TMA.
 
Hata hujui kitu bora ukae kimya. Kinachowapeleka waarabu kwa wazungu sio fedha, bali kununua silaha na technolojia. Sasa hivi waarabu wanakwenda ulaya kununua wachezaji wa kizungu. marekani anazo silaha nzuri ambazo usipokuwa karibu nao hakuuzii hata kama unazo fedha.
 
Kwahiyo mlitaka mama akojoe mito ijae yafike nyumbani kwako? Yaani mmekuwa kama watoto waliobemendwa hamtaki kusiliza maelezo ya wataalamu wala TMA.
Libya hakuna TMA? Ulishawahi sikia maji yanakatika japo jangwani?
Unazungumzia maendeleo kama kasuku?
Miaka 60 plus ya uhuru mmeshindwa hata kutafutia soln ya kudumu ya maji ya kunywa mnategemea ubashiri wa TMA?
Endeleeni kuteka na kuua watu wasio nahatia
mitaani hakuna maji miezi sasa
 
Ni kweli kwa speed yake ya ukatili, utekaji, utesaji, ubakaji,, na uuaji, anatisha sana.
kama yuko hivyo kweli mbona wewe hukutekwa?. Wanaoteka watu ni chadema na kuisingizia serikali ili wapate uhalali wa kuwa wakimbizi ulaya na kupatiwa msaada ya kuipindua serikali. Upande wa serikali wao wanahangaika na magaidi na vibaraka tu basi kwa faida ya Jamhuri.
 
Mwambie huyo mama yenu atufungilie JF wengine VPN hawana
 
Look at this goon, nani kakwambia wanaenda kuomba pesa. Hao Waarabu wanajikomba kwa Wazungu literally they're chasing validation.
Ulinzi na silaha huwa wanahitaji ndiyo maana kuna American military bases kwenye nchi zote za Kiarabu ambazo ni 'rafiki' na Marekani but that comes as secondary aspects after their main objective which is chasing validation.
 
Nitajie nchi moja ya Afrika ya weusi ambayo maji na umeme vipo wakati wote siku zote na miaka yote. Unafanya benchmarking ya tanzania na taifa la Libya, una akili kweli wewe? Hata wakati wa ukoloni watu weusi ndiyo lilikuwa tabaka la chini kabisa tukiwa nyuma ya wahindi na waarabu (Asians). Hali hii iko hadi sasa. Nimemsikia mpuuzi mwenzio heche akiifananisha Tanzania na Dubai na Singapore eti tz ilipaswa kuwa mbele ya nchi hizo. Kwani Kenya, South Afrika, Nigeria, Ghana, Uganda, Zambia, malawi au Zimbabwe zimeshindwa kuwa kama Dubai na Singapore, hawana rasilimali kama zetu?. Upuuzi mwingine wasimulie watoto wako wanaokuelewa.
 
Their primary reason is protection, not validation as you say. Petrodollar ilikuja kwasababu ya Saudia (sunni) kutaka kulindwa na marekani dhidi ya madola ya washia kama Iran na Iraq.
 
Maneno meeengi, kujaza tu saver. Wenye busara walishasema, "Matendo ya mtu humuelezea vyema kuliko maneno ya wanaomshangilia."
Usifuate mkumbo. Mama walimkataa hata kabla ya kuapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha JPM. Mungu ameliepusha taifa hili na balaa kubwa kwa kutuletea Mama Samia. Nahisi mm kulikuwa na mpango mkubwa ovu ambao ulivurugika baada ya Rais JPM kufariki au baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa rais. Mungu alilinusuru taifa kupitia mwanawe wa pekee Generali Mabeyo. Historia ya General Mabeyo lazima ihifadhiwe vizuri na ifundishwe mashuleni ili vizazi na vizazi vimjue kama shujaa wa taifa. Huyu lazima ajengewe sanamu lake pale Ikulu na kwenye makambi yote ya JWTZ.
 
Their primary reason is protection, not validation as you say. Petrodollar ilikuja kwasababu ya Saudia (sunni) kutaka kulindwa na marekani dhidi ya madola ya washia kama Iran na Iraq.
Let's agree to disagree on this, huku ninakoishi na shughuli zangu I mingle with them a lot. Asians hasa Waarabu na Wahindi ni kama mbwa kwa chatu wanapofika kwa Wazungu, bora kidogo hawa wa Far East countries huwa wanakuja na misimamo yao 'somehow'.
 
Wewe ni mpuuzi
Sasa kama hivyo hiyo kasi ya maendeleo ya Samia (muua watu) unayoimba Kila siku hapa IPO wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…