Speed ya Rais Samia inawatisha wengi, wazungu wamefilisika

naweza kukuajili wewe na rafiki yako. Tunaandika haya kama sehemu ya natural breaks tu ya kazi zetu zinazotumia akili nyingi kwenye dawati.
Kazi pekee unaweza kuniajiri labda ni kumtomb mke wako maana wewe umekuwa shoga sababu ya kufirw na Abdul
 
Wanadhani kuwa dunia inapata habari za tanzania kupitia chadema tu na sio serikali, maofisa wa balozi zao wala asasi nyingine. Wanadhani jumuiya za kimataifa zote ni chadema na zinatekeleza kupitia maelezo na wishes za chadema. Kuwaza kama hivi ni wendawazimu mwingine.

Dunia na hata UN inajua kwamba ni Rais Samia aliyewarejesha akina Lissu nyumbani kutoka ukimbizini na kuvifungulia vyama vya kufanyakazi tena nchini. Wanasahau kuwa kinachomtia mtu hatiani ni dhamira yake wakati wa kutenda kosa. Ushahidi upo kwamba waandamanaji walivamia vituo vya polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi. Jiulize kwanini walihitaji wawe na silaha na sare za polisi, walifanya nini nazo?. Je katika ambush kwa serikali kama hiyo ya kuua watu wakiwa wamevaa sare za polisi, wanachoma kila kitu na kuiba kila kitu ulitegemea serikali ingefanya nini, kuimba mapambio?
 
Hata Israel walipanga kuiangamiza Gaza lakini ICC na UN hawakupeleka ujumbe wa kipuuzi kama waliouleta kwetu. Wanadhani watanzania ni malofa?
 
Kazi pekee unaweza kuniajiri labda ni kumtomb mke wako maana wewe umekuwa shoga sababu ya kufirw na Abdul
He, unajua chadema wanawapa nini wazungu ili wawape msaada? Ni mikund* yenu tu, nothing less nothing more.
 
Waliingia choo cha 'kike' hao CHADEMA na wote walioshirikiana kufanya maasi yale.

Unakata watu vidole kisa vina wino wa kupigia kura!, ukichezea kichapo kikali eti uende ukajilize huko ICC!, nani akusaidie kiboya namna hiyo!!?.

Ninawauliza swali moja tu, iwapo wangeingia ikulu na kujitangazia ushindi kwamba wameichukua serikali ya JMT tungesikia hizi kelele za Samia ni muuaji au Samia anatakiwa kujibu mashtaka kule The Hague?.
 
Yaani Lissu akiwa Rais wa nchi hii nitajinyonga kesho yake saa 4 asubuhi na siachi ujumbe. Wakati wa kampeni za uchaguzi nilikuwa naona malioni ya watanzania wakihudhuria mikutano ya kampeni, eti kwa mujibu wa chadema watu wooote wale hawana haki, hawajui, na washamba isipokuwa haki zao na matakwa yao wao. Ni wapuuuuuuzi kabisa.
 
Lissu na Kitima, Gwajima wanastahili sehemu ya adhabu kwa yaliyotokea October 29 mwaka jana.

Wametengeneza chuki dhidi ya uislam wa SSH wameisambaza kiasi kwamba ikawa rahisi kwa vijana wengi kuichoma nchi yao wenyewe.

Wengi wetu hatuna uelewa wa namna ICC inavyofanya kazi, watakapokuja kupeleleza nani haswa walikuwa nyuma ya chuki ya halaiki hali inaweza kuwa mbaya kwa Baba Padre Kitima.
 
Inashangaza kuona mtoto ambae ameramba maziwa ya kopo ya mdogo wake mchanga akikanusha kuwa sio yeye amekula wakati maziwa yaleyale yanaonekana kifuani kwake na kandokando ya mdomo wake yakiwa yamemdondokea wakati akiyaramba. Mtoto huyu anaonekana akilia kwa nguvu na kukanusha kuwa siyo yeye amekula eti kwasababu hakuna mtu alimuona wakati anakula. Mzazi mjinga ni yule ambae atakubaliana na utetezi ule wa kulia sana na kukanusha ili asiadhibiwe kwa kosa lile.

Chadema walisema "no reforms no election" na kweli vituo vya kupigia kura vilichomwa moto siku ya uchaguzi na baadhi ya waliopigakura walikatwa vidole vyao vyenye rangi ya wino wa kuonyesha walipiga kura. Yaani kwa mujibu wao wale ambao walitaka kupiga kura na wale waliopiga kura wote hao hawana haki mbele ya chadema. Hata sijui pale mahakamani tunatafuta nini kupoteza fedha za wananchi bila sababu bure tu wakati maziwa ya mtoto yameonekana kifuani mwaona kuzunguuka midomo yao. Msajili unasubiri nini baba?

Lengo kuu la hawa watu walijua kuwa hawataweza kuipindua serikali lakini walikuwa wanataka kutengeneza mauwaji ya kimbari ambayo yanahitajika kule ICC na kwa wafadhili wao ili wapate sababu ya kusaidiwa. Ndiyo maana walivamia na kuharibu kila mahali wakitarajia kuwa serikali haitaangalia na kuvumilia uharibifu huo. Pili, walivamia na kuiba vituo vya polisi na kupora silaha na sare za polisi ili kuua watu wengi wakiwa na sare za polisi. Tatu, walichoma ofisi na mali za CCM wakitarajia kuwa na wanaCCM watalipiza kwa kuchoma ofisi na mali za chadema ili mauaji yaendelee kwenye upande huo pia. Hawa watu sio wazuri kwa taifa, na iko siku tutapata hasara kubwa sana kama tutacheka nao.
 
Baadhi ya wanachama wa muda mrefu humu JF wanaweka picha za watoto waliouliwa siku ile halafu wanasema SSH ni muuaji!. Hawawezi kusema ni kwanini polisi waliamua kutumia nguvu kubwa katika kutuliza ile ghasia mitaani.

Hawawezi kuongelea hilo suala la polisi kuuliwa halafu nguo zao zikavaliwa na hao wahuni wa TAL waliofanya hivyo wakiwa na lengo la kuwaua polisi wengi zaidi ambao wangedanganyika na zile nguo zao bila ya kujua waliozivaa ni wahuni.

Lissu anaweza kukutana na adhabu kali zaidi kutoka huko ICC watakapokuja mwaka huu, upo ushahidi wa hotuba yake ya kukinukisha iliyopo Youtube mpaka muda huu, upo ushahidi mwingine wa Heche akisema uchaguzi hautafanyika kabisa.

Viongozi wote wawili wa CHADEMA walichochea vurugu zile, sijui ni tamaa ya madaraka sijui ni roho mbaya ya kibinadamu, they acted so evil.

Huko ICC wanaonekana kupashangilia sana hawa CHADEMA lakini panaweza kuwageuka mazima.
 


mbona unareduce kila kitu kuwa ni Tundu Lisu's fault? Tundu Lisu hana jeshi la kuamrisha kuuwa maelfu wa wananchi, hivyo hapo ni david vs goliath, aliye na nguvu ndiye siku zote huwajibishwa na haijalishi nani ''kaanza'' uchokozi isitoshe Tundu Lisu alikuwa jela wakati wa mauaji hana access yoyote ile na out side world how is it that its his fault kuuliwa kwa wananchi? ...
 
Ushahidi wa hotuba yake ya mwezi mmoja kabla hajatiwa ndani ndio unamuweka matatani.

Jinai haina ukomo.
 
Nchi yenye vyama zaidi 20 vya siasa, kama chama kimoja kikisema hakitashiriki uchaguzi ndiyo uchaguzi hautafanyika? Kama sio udikteta ni nini? Nani kawapa hiyo turufu? Hivi Katiba ya nchi ni mali ya CCM na chadema tu kama wakikubaliana wao wanaweza kuidokoa watakavyo wakati wowote?. Ni upuuzi gani huu!!!
 
Ushahidi wa hotuba yake ya mwezi mmoja kabla hajatiwa ndani ndio unamuweka matatani.

Jinai haina ukomo.

hotuba ndiyo iliyoua watu? hicho kitakuwa ni kituko cha karne yani mtu ambaye yuko jela hana jeshi wala access yoyote na outside world halafu awe repsonsible na mauji ya halaiki yaliofanywa na jeshi la polisi? ...
 
Kitawageuka kwakuwa wao walikuwa na maandalizi juu ya kile kilichotokea wakati serikali haikuwa na maandalizi yoyote. ndiyo maana hata Rais Samia alisema hakutakuwa na nywii wala nywiii siku ya uchaguzi. Maana yake serikali haikujua kuwa no reforms no election ni kuchoma vituo vya polisi, mabasi ya mwendokasi, sheli, TRA, maduka, mahakama, vituo vya kupigia kura, ATM, kuvaa sare za jeshi la polisi, nk.
 
Lisu aliasisi no reforms no election, na hata alivyokuwa gerezani bado aliendelea kusema no reforms no election na t-shirt alikuwa akiivaa akiwa hukohuko gerezani. Wewe unajua ni kwanini Lissu alikuwa akisema no reforms no election hata pale alipokuwa ameshikiliwa mahabusu akijua kuwa siku ya uchaguzi takuwa gerezani bado?. Unajua ni kwanini akina Heche na Mnyika walikuwa wakisema no reforms no election hata pale mwenyekiti wao alipokuwa yuko gerezani?. Unadhani watanzania ni wajingawajinga wote. Ni lini umesikia chadema wakisikitikia uharibifu wa miundombinu ya umma na hasara waliyopata watu binasi uliofanywa na waandamanaji?
 
Ni lini umesikia chadema wakisikitikia uharibifu wa miundombinu ya umma na hasara waliyopata watu binasi uliofanywa na waandamanaji?

hoja dhaifu kabisa labda kama kwenye islamic sharia ndiyo mnaweza kushinda lkn siyo icc, hakuna chochote kinachohalalisha mauaji ya binadamu, huwezi kusema umeuwa watu kwa sababu waliharibu mali hilo halisimami kabisa, kwenye Christianity maisha yana thamani kubwa klk chochote hivyo kusema umeuwa maelfu ya watu kwa sababu waliharibu mali haiwezi kukutoa, kwamba mlifanya mauaji ya maelfu ya wananchi kwa sababu waliharibu mali? mali zinarudishika vipi maisha ya watu? nani atayarudhisha?

uharibifu wa mali siyo hoja kabisa ya kujitetea, ngoja nikupe mfano mdogo na nimeshalishuhudia hili likitokea mwizi anakwenda kuiba nyumbani kwako kama ukimuona na ukamshoot halafu akafariki una kesi ya kujibu kwa maana umeua na utapata shida sana na waendesha mashitaka kwani ni lazima uthibitishe (in a Christian court system ofcourse) kwamba uliuwa for self defense na si vinginevyo kwani kama ni kuiba ungeweza hata kumshoot mguuni au sehemu yoyote ambayo asingekufa, kwenye Christianity maisha ya binadamu ni namba 1 hivyo hoja ya kuharibu mali haiwezi kusimama kabisa labda kwenye sharia ...
 
So samuya aliokolewa na mabeyo, swali; kwakuwa umeleta hoja ya udini..huyo mabeyo yeye ni dini gani??
Ikiwa ni mkristo kwann tena amuokoe samuya ambaye ni muislam...kumbuka umesema kuna udini.
Hv ni kwann mtu akiwa chawa akili zenu huwa zinakuwa mataqoni?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…