Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.
Hiyo barua ya kujiuzulu ikowapi?.
please do the needful.
P
Mkuu p nakuona kwa mbaaali unampa Mungu utukufu wake😀😀
 
Kama ni kweli, basi Yustino ni mtanzania pekee(including Lowasa) mwenye uthubutu. Hata kama kuna external forces Ila kitendo cha yeye kujiuzulu ni ishara nzuri kwamba he's not in par with the authority hivyo anawaachia wenye mawazo tofauti waendeshe nchi.

Safi sana!!
 
inaonekana feki kabisa hii
[emoji116][emoji116]
IMG-20220106-WA0047.jpg
 
Hii nafasi iliyowazi inamfaa sana Lisu, Natamani agombee akiwa huru yaani bila chama(Lisu ni zaidi ya Itikadi baguzi za CHADEMA)
 
Sasa atakuwa anakaa kwa wabunge wa kawaida. Nikikumbuka tambo zake"Mimi nitakufungia usichangie chochote hadi bunge liishe "😂😂.Sasa speaker anakuja mzanzibari.
Spika Mzanzibar na Muislamu. Waislamu wapewe Nini Tena?
 
Wasalam ndugu Wana bodi.

Siku ya leo kumekuwa na tetesi nyingi sana juu ya kuwasilishwa Kwa barua ya kujizulu usipika wa Bunge kutoka Kwa ndugu NDUGAI.

Je,taarifa hizi zina ukweli wowote na kama ndio hii itakuwa ni ishara ya ukomavu wa kisiasa wa ndugu Ndugai au ni uoga.

Pia Kwa muktadha wa kimihimili i.e. Serikali,Bunge na Mahakama ni ishara kuwa hii mihimili haina nguvu Sawa za kuhoji na kushauri mhimili mwingine.

Hebu naomba tulijadili hili kama wasomi na si Kwa mihemuko ya kisiasa.
IMG_20220106_172334.jpg
 
Back
Top Bottom