dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... hiyo sio barua mzee; ni taarifa kwamba ameandika barua.Kutuandikia barua kwa herufi kubwa ni dharau kubwa sana... Ni uhaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... hiyo sio barua mzee; ni taarifa kwamba ameandika barua.Kutuandikia barua kwa herufi kubwa ni dharau kubwa sana... Ni uhaini
Mkuu p nakuona kwa mbaaali unampa Mungu utukufu wake😀😀Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.
Hiyo barua ya kujiuzulu ikowapi?.
please do the needful.
P
[emoji116][emoji116]inaonekana feki kabisa hii
Mzee wa Galilaya kaachia chombo😅😅😅Oyaaa Ndugai ametema ngisi? 😳😳
Utabiri wa Luma usije timia[emoji848]Kwa kasi ya mchezo lazima aweke mpira kwapani
PoleSasa kama ulimpanulia kwanini asikugonge?
Spika Mzanzibar na Muislamu. Waislamu wapewe Nini Tena?Sasa atakuwa anakaa kwa wabunge wa kawaida. Nikikumbuka tambo zake"Mimi nitakufungia usichangie chochote hadi bunge liishe "😂😂.Sasa speaker anakuja mzanzibari.
Hana ujumbe wowote huyo alimpinga magufuli kabla hata mwili wakke haujaoza mnafiki mkubwa.Ujumbe wa Ndugai utaishi nao hadi 2025
Sina mbavu hilo jina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawezi jiuzulu. Huu upepo utapita na ataendelea kuwa speaker hadi 2025.