Atoe maelezo hela zililipwa lini bank gani account na ngapi na Jin la account. Aliezichukua ni nani ikiwa ziliingizwa kwenye a/c ya Tundu. Akitoa maelezo hayo tutaelewa ukweli vinginevyo ni yaleyale ya chuki binafsi zisizokuwa na maelezo."Na hata huyo mtu wao alilipwa
kila kitu, ila zilipoingia benki...
"Na hata huyo mtu wao alilipwa
kila kitu, ila zilipoingia benki..
iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai"
amesema Spika Ndugai
Haya yalisemwa lini??"Na hata huyo mtu wao alilipwa
kila kitu, ila zilipoingia benki
walizichukua zote, na kama mtu
kaishiwa huko ulaya alipo si
aseme tu, bunge ni taasisi
iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai"
amesema Spika Ndugai
Nchi hii ya ajabu kweli. Mtu ambaye ni takataka ndio Spika wa Bunge la nchi na mtu asiye takataka yupo mtandaoni na jina bandia analalamikia maamuzi ya Spika takataka. Ahahahahahahahh!!!Bunge linalojadili kujiongezea posho ni bunge takataka kabisa.
Kila taasisi wakianza kujadili kuongezewa mishahara wakati wa kazi...
Kwahio wahakiki walihakiki nini??Aweke wazi nyaraka za malipo.
Ndungai ni takataka tu"Na hata huyo mtu wao alilipwa
kila kitu, ila zilipoingia benki
walizichukua zote, na kama mtu...
Usimtishe kwa matumaini yako hewa ya katiba mpya. Tueleze hayo madai ni ya lini?Maneno ya mkosaji
Kama la akina Mbowe limetenguliwa basi aamini hata yaliyopo bungeni yatatenguliwa
Asijitutumue kuona ni mungu mtu
Wakati wa majigambo dharau kebehi unayoyoma
Katiba Mpya itakuchakaza mpaka utoke kinaniii
Kuwa mpole utajiepusha na mengi ndunga yai
Kwani hawawezi kuitwa- wakikataa wanafungiwa kutumika ndani ya mipaka ya TanzaniaHuyu mjinga naye atawaita wamiliki wa twitter, fb na Instagram?
Kwa orodha ile uliyoweka jana? Utasubiri sana na kutukana matusi yote unayoyajuaPumbavu sana huyo Ndugai!
Na nasema huu mwaka hautaisha kabla hajaaibika. Lisu atalipwa na kuna watakaopandishwa kizimbani kwaajili ya Lisu.
Akili zake ni fupi kuliko kimo chake, msamehe bureHuyu mjinga naye atawaita wamiliki wa twitter, fb na Instagram?
Akili yako na ya Ndugai hazina tofautiKwani hawawezi kuitwa- wakikataa wanafungiwa kutumika ndani ya mipaka ya Tanzania