Spika Ndugai: Baadhi ya watu wananiandika vibaya kwasababu mimi Mgogo

tumsamehe bure huenda ARV zimepanda kichwani yanamtoka tu bila kujijua.
 
Sijui kwanini Kamongo hakumbeba huyu Pimbi mwenzie anatusumbua hapa.
 
Yuko ukingoni akirudi kole kongwa atatamani kusikiliza habari za bungeni kumbe alitia saini bunge lisiwe live
 
aagwe vipi tena? umechungulia tulia atachukua kiti chako? mbona unaweweseka sana
 
Kwenye hili la deni kuzidi kuielemea nchi nimemuelewa Ndugai.

Infact hapo ameweza ku play well kama mhimili huru wa Bunge!

Heko Ayoub Ndugai walau umeonesha uthubutu.
 
broo ulidhauraulika kitambo tena kumbuka ulipowaapisha watu 19 kuwa wabunge wa viti maalum pale garage kuwa wabunge ilhali hawana baraka za chama chao., huko Tanzania ukitaja ndugai ni kama vile umetaja kina bashite, bwana yule na magenge mengine
 
Mtu hushambuliwa kwa matendo yake maovu sio kwa ukabila wake. Asijaribu kabisa kututoa kwenye mjadala juu ya uendeshaji wake mbovu wa Bunge na uvunjaji wa kanuni na taratibu za uendeshaji bunge. Badala ya kutubu na kubadilika anazidi kuzua mjadala juu ya mdajala mitandaoni. Hopeless
 
Kwa hiyo hata covid19 amewaingiza kwasababu ni mgogo?
 
Wandali hawajawahi kushika nafasi yo yote nyeti ya uongozi nchini, lakini wagogo ni wengi mfano
Malecela, Lusinde nk lakini hawakuwahi kuandikwa vibaya! Kwa nini Ndugai anataka huruma ya wagogo kwa ujinga wake mwenyewe?
Haumkumbuki Steven Kibona Waziri wa Fedha enzi za Mwinyi? Je Mzee Cheyo?

Siku nyingi sijapita maeneo ya Masoko na Sange labda kuna vijna wa ccm huko siku hizi mm siwajui

Ila johnthebaptist atakuwa Wandali wengi wanaokula mema ya nchi
 
Watu wanajisajaulisha usemi ule wa malipo ni hapa hapa duniani, waliotuharibia taifa letu katika kipindi zaidi ni katika kipipindi Cha kama miaka⁶ iiliyopita mzee wa bakora, au Sasa wamemwongezea jina mzee wa michongo a.k.a subwoofer na msaidizi wake hawachomoki kwenye lawama🤔.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…