Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sababu wanajua hawawezi kuleta maendeleo ndyomaana wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha covid 19 wapo bungeni ili mwisho wa siku wawasingizie kuwa ndyo wanakwamisha maendeleo.Wanahitajika kivipi na wakati wana kwamisha maendeleo?
CHADEMA futeni hao CCM. OverSababu wanajua hawawezi kuleta maendeleo ndyomaana wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha covid 19 wapo bungeni ili mwisho wa siku wawasingizie kuwa ndyo wanakwamisha maendeleo.
[emoji3516][emoji3516]Sababu wanajua hawawezi kuleta maendeleo ndyomaana wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha covid 19 wapo bungeni ili mwisho wa siku wawasingizie kuwa ndyo wanakwamisha maendeleo.
Anasema hawawezi kwenda yeye kama nani?....hawa si wabunge wa chadema..yeye inamuhusu nini...hawa wanasiasa njaa wa bongo ni kichekesho sana....hahahahaMzee ndugai jana alikuwa akitoa kauli hizo kupitia katika kituo cha TBC mubashara akiwa amekaa kwenye kochi au sofa kubwa huku akibadilisha mikao. Ndugai alikuwa akiongea kwa upole sana kama padri hivi huku maneno yake yakiwa makali sana, Mh. alitumia muda mwingi kuwa tambua na kuwa bariki wabunge 19 wa Chadema ambao tayari alikwisha waapisha bungeni...
Wawe wabunge wa CCM BShida ni utaratibu uliotumika kuwaingiza bungeni,kila kitu kinakiwa utaratibu.
Ana haki ya kuwalinda..kumbuka huyu ndio bosi wao na ndio anawalipa mshahara..chadema haiwalipi hawa ila wao ndio wanailipa, chadema haikuwalipia kadi za uanachama wala ada.Anasema hawawezi kwenda yeye kama nani?....hawa si wabunge wa chadema..yeye inamuhusu nini...hawa wanasiasa njaa wa bongo ni kichekesho sana....hahahaha
Mnyika hawezi pambana na Covid-19Mzee ndugai jana alikuwa akitoa kauli hizo kupitia katika kituo cha TBC mubashara akiwa amekaa kwenye kochi au sofa kubwa huku akibadilisha mikao. Ndugai alikuwa akiongea kwa upole sana kama padri hivi huku maneno yake yakiwa makali sana, Mh. alitumia muda mwingi kuwa tambua na kuwa bariki wabunge 19 wa Chadema ambao tayari alikwisha waapisha bungeni...
Kwa haya yanayotrend kisiasa, wengi tumegundua kuwa , hakuna bunge bila upinzani. Ndyo maana Serikali imeamua kutumia resources zozote kuhakikisha bunge halikosi wapinzani kabisa.
Kauli ya ndugai kuwa atawalinda covid 19 kwa nguvu zote imetuonesha kuwa hawa covid 19 ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm.
Tanzania hakuna siasa tena!
Ndio umejitoa akili kiasi hicho? Jionee hurumaAna haki ya kuwalinda..kumbuka huyu ndio bosi wao na ndio anawalipa mshahara..chadema haiwalipi hawa ila wao ndio wanailipa, chadema haikuwalipia kadi za uanachama wala ada.
Hapo kwe covid 19[emoji1][emoji1][emoji1]Kwa haya yanayotrend kisiasa, wengi tumegundua kuwa , hakuna bunge bila upinzani. Ndyo maana Serikali imeamua kutumia resources zozote kuhakikisha bunge halikosi wapinzani kabisa.
Kauli ya ndugai kuwa atawalinda covid 19 kwa nguvu zote imetuonesha kuwa hawa covid 19 ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm.
Tanzania hakuna siasa tena!
Hiyo ndiyo ccm sasa, kiongozi anapokosa maarifa ishu kama hizo lazima zitokee, angekuwa na maarifa/maono basi hili wangelijua mapema na lisingewasumbua. Siyo kwamba fisiemu wote ni wajinga au hawakulijua hili bali je nani angeweza kumshauri bwana yule asiyeshaurika.Mimi ndio kinacho nishangaza wao ccm hawakutaka mpinzani yoyote kwa bunge, iweje hawa waseme watawapigania kwa nguvu zote..ukiona hivyo ujue kuna mfereji wa pesa
Wabunge wa upinzani ni asset, bila hao serikali inapoteza zaidi ya trillion 1.7.Kwa haya yanayotrend kisiasa, wengi tumegundua kuwa , hakuna bunge bila upinzani. Ndyo maana Serikali imeamua kutumia resources zozote kuhakikisha bunge halikosi wapinzani kabisa.
Kauli ya ndugai kuwa atawalinda covid 19 kwa nguvu zote imetuonesha kuwa hawa covid 19 ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm.
Tanzania hakuna siasa tena!