Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

Huyu jamaa atakuwa hajapona maradhi yake !!
 
Unatamani ningekuwa na kesi ya ugaidi mahakamani au uhujumu uchumi eeeeeeh.
"Mbwa ukimjua jina hakupi tabu"
 
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametoa ufafanuzi kuwa wabunge 19 wa Viti maalum wa chama cha Upinzani CHADEMA walioapishwa hivi karibuni kuwa ni wabunge halali, na wataendelea kuwa hivyo hadi hapo atakapopokea maelezo tofauti kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Chanzo: wasafifm

Kila ukiamka ni Makelele tu na Vitisho na Upuuzi mtupu. Nyie Wabunge wa Viti Maalum CHADEMA mlichokifanya hamjakosea na chapeni Kazi zenu.
 
Yes watabaki kuwa wabunge wa mataga ila Chadema ni taasisi inayojitegemea na itafanya maamuzi ya kuwatimua waje huko CCM kuwaongoza maana mna upungufu mkubwa sana wa viongozi.
 
Unatamani ningekuwa na kesi ya ugaidi mahakamani au uhujumu uchumi eeeeeeh.
"Mbwa ukimjua jina hakupi tabu"
🤣🤣🤣🤣 Kwahiyo wao ndo wanatakiwa kuhangaika mahakamani na kesi za ajabuajabu Kila siku,kwakua wao sio binadamu kama wewe sio🤔?
 
Hivi hizo kanuni za Bunge za kuwalinda wachache zimeanza lini!!?
 
Chadema ipo ICU mda wowote inafariki ghafra endapo itawakumbatia mdee aliyeonyesha dharau kubwa kwa katibu mkuu na Lisu, kuendelea kuilea dharau za mdee ni kuizika chadema
Uko sahihi kabisa. Kwa dharau zilizoonyeshwa, nani anategemea kuwaona Mnyika na Lissu na wengine wenye misimamo thabiti, wakibaki kama walivyokua, kama hao wamama wakipewa baraka za kuendelea na bunge wakiwa chini ya mwamvuli wa CHADEMA.
 
Watanzania wengi hasa wanawake weikubali chadema kwa sababu ya hao wanawakeajasiri.

Kuwafukuza Wabunge walioapishwa kikatiba ni kosa kubwa sana...
Mkuu mbona unaongea pumba hivyo? Adhabu ya hao ni kufukuzwa tu na so vinginevyo halafu endapo chama kitafutwa basi nakifutwe tuanze at scratch kuliko kubaki na chama kisichokuwa na wanachama wenye di
 
Ni kwamba ulikuwa hujawahi kuzisikia au hazikuwepo? Hazikuwepo au ulikuwa hujabahatika kuzisikia?
No nilikuwa sijamuona akiwa commited jiasi hiki kuwa Linda wachache. Experience yangu naona kama vile wachache wajikuwa wanakandamizwa zaidi hasa kwenye Bunge kililopita chini ya Ndugai.
 
CCM hainunui watu bwashee!
Lakini wewe akili zako huwa ni nywele za taahira nini? Kukutana na bandiko lako la haja na hoja ni nadra kama kukutana na sisimizi mwenye kengeza! Tangu mwanzo kabisa kule Arusha Mnyeti alitanabaisha nia, sababu na uwezo wa ccm kununua wapinzani! Acha utopolo.
 
No nilikuwa sijamuona akiwa commited jiasi hiki kuwa Linda wachache. Experience yangu naona kama vile wachache wajikuwa wanakandamizwa zaidi hasa kwenye Bunge kililopita chini ya Ndugai.
Ila wachache kutaka kuonewa katika kiwango hiki kabla uliwahi kuona?
 
Anaongelea covid19 au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…