Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

Hivi CDM wakiwafukuza Uanachama akina Mdee na wenzake,je wataendelea kuwa na sifa ya Ubunge viti maalumu?
 
Kama kawaida yao anaweza kutumwa mamboleo kudai huu mkutano hauna kibali kuuzuia kufanyika.

Lini wonders ziliwahi kwisha udanganyikani?
Kwanihao wabunge wameitwa kwa barua? Au ndo mambo yakuitana kupitia mitandao?
 
Poa tu
Your browser is not able to display this video.
 
Sawa. Kwa kuwa yeye yuko juu ya sheria za nchi na hashitakiwi. Watabaki kuwa wabunge wake bila chama. Hongera kwake.
 
Spika Ndugai ametoa ufafanuzi mzuri sana!
Hakuna kitu ni kutapatapa tu kwa CCM imesha feli , ilivyopitisha wabunge wa CCM tupu kwa kishindo haikufikiria hili au ni kukurupuka tu kama mnavyokurupukaga acheni ushenzi mmesha kwama baada ya kuona hamna pinzani hivyo misaada itafungwa ndio mnatafuta wizi wenu.
 
Acha upuuzi wako wewe. Raisi/mwenyekiti wa yanga akisema tutaishangilia simba jumamosi mpaka pawe na kikao???? Kuna tofauti gani kati ya hilo na Lisu aliposema tunamuunga mkono swift?? Ulisoma shule gani wewe? Hujui hata comparison??
Kuna kikao chochote cha kamati kilikaa kupitisha hilo?

Kumbe huko chadema kiongozi anaweza kusimama popote na kusema lolote kiushabiki tu kama zilivyo timu za simba na yanga?
 
Wabaki kuwa wabunge wa Ndugai lakini siyo wa CHADEMA
 
Huyu ARV zimeanza kumuathiri kichwani
 
Mzee ndugai jana alikuwa akitoa kauli hizo kupitia katika kituo cha TBC mubashara akiwa amekaa kwenye kochi au sofa kubwa huku akibadilisha mikao. Ndugai alikuwa akiongea kwa upole sana kama padri hivi huku maneno yake yakiwa makali sana, Mh. alitumia muda mwingi kuwa tambua na kuwa bariki wabunge 19 wa Chadema ambao tayari alikwisha waapisha bungeni.

Mzee ndugai akaenda mbali zaidi na kumwambia John Mnyika kuwa ajifunze kwa akina Dr Bashiru katibu mkuu wa CCM, maana kule si kuwaita watu kwa kuhojiwa yeye anaongea tayari anamajibu tayari na kutoa mfano kuwa ni kuitwa katika tundu la simba hivyo hawawezi kwenda
 
Kwa haya yanayotrend kisiasa, wengi tumegundua kuwa , hakuna bunge bila upinzani. Ndyo maana Serikali imeamua kutumia resources zozote kuhakikisha bunge halikosi wapinzani kabisa.

Kauli ya ndugai kuwa atawalinda covid 19 kwa nguvu zote imetuonesha kuwa hawa covid 19 ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm.

Tanzania hakuna siasa tena!
 
Wanahitajika kivipi na wakati wana kwamisha maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…