Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Hivi unaiona ruti aliyoizungumza iko sawa?He was talking about the distance they covered during that journey. Maybe he has visited Israel, so atakuwa anajua umbali waliotembea.
Kasome luka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaiona ruti aliyoizungumza iko sawa?He was talking about the distance they covered during that journey. Maybe he has visited Israel, so atakuwa anajua umbali waliotembea.
Vipi kuhusu sensa ya YerusalemuUlimi hauna mfupa.......
Mh.Spika alikusudia YUSUFU.....ndio maana alisema walikwenda alipozaliwa Bwana Yesu......
#Yetzerha-tov
#SiempreJMT
#KaziIendelee
Ha ha haHabari wadau, naamini jukwaa hili ni huru hivyo naruhusiwa kutoa maoni. Nimesikia spika wa bunge letu Mh Ndugai akizungumza habari za Yesu na mke wake.
Mimi naamini ingekuwa ni kosa la ulimi kuteleza angeligundua na kusahihisha papo hapo, kwa maoni yangu ni kwamba alifanya makusudi au hakuwa anatafakari kila anacho tamka (yaani kinachotoka mdomoni hakikurudi akilini ili ajue ni sahihi au la.
Uzungumzaji wa aina hii haufai, aitwe ahojiwe kwa kusema uongo, kudhihaki na kushusha hadhi ya Bunge.
Watanzania bwana, wana nongwa kweli. Mtu ameshaomba msamaha lakini bado watu wanaendelea kumsakama. Ni dhahiri hapa kuna chuki binafsi.Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI
Duuuh 😥😥😥😥
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
Huyu tusimhukumu sana kwa kuwa aliwahi kusema ana faili Mirembe. Tuzidi kumuombea apone haraka.Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI
Duuuh 😥😥😥😥
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
Anasema hana mkeKwani mwenye mke wake yeye mwenyewe anasemaje??
Ni chuki tu mkuu....👍Watanzania bwana, wana nongwa kweli. Mtu ameshaomba msamaha lakini bado watu wanaendelea kumsakama. Ni dhahiri hapa kuna chuki binafsi.
Hahahahaaa aisee.Yesu kumbe alioa.
Naomba ndugai awekwe makumbusho
Ameombea radhi vichochoroni, aitwe tu ili aieleze kamati. Chanjo ni kama bangeAmeshaomba radhi!
Jadili hoja ya Yesu kutembea na mke wake. Inamaana alitaka kusema walipofika Nazareth akalala na kufanya nini Kama wangekuta sehem ya kulala?hizo ndio akili za wapinzani wa Serikali. Ila wako wachache sana hawana madhara. Ndugai mi nimempenda sana anautendea haki mhimili wa bunge, angefaa hata kuwa Rais wa nchi hii awashughulikie vizuri wapuuzi km kina Gwajima...
NDUGAI ANA ILE KINGA BABU KUBWAHabari wadau, naamini jukwaa hili ni huru hivyo naruhusiwa kutoa maoni. Nimesikia spika wa bunge letu Mh Ndugai akizungumza habari za Yesu na mke wake.
Mimi naamini ingekuwa ni kosa la ulimi kuteleza angeligundua na kusahihisha papo hapo, kwa maoni yangu ni kwamba alifanya makusudi au hakuwa anatafakari kila anacho tamka (yaani kinachotoka mdomoni hakikurudi akilini ili ajue ni sahihi au la.
Uzungumzaji wa aina hii haufai, aitwe ahojiwe kwa kusema uongo, kudhihaki na kushusha hadhi ya Bunge.
Akiitwa na kamati nakupa zawadi ya Mbuzi mmoja uumle supu 🤣 🤣 🤣Habari wadau, naamini jukwaa hili ni huru hivyo naruhusiwa kutoa maoni. Nimesikia spika wa bunge letu Mh Ndugai akizungumza habari za Yesu na mke wake.
Mimi naamini ingekuwa ni kosa la ulimi kuteleza angeligundua na kusahihisha papo hapo, kwa maoni yangu ni kwamba alifanya makusudi au hakuwa anatafakari kila anacho tamka (yaani kinachotoka mdomoni hakikurudi akilini ili ajue ni sahihi au la.
Uzungumzaji wa aina hii haufai, aitwe ahojiwe kwa kusema uongo, kudhihaki na kushusha hadhi ya Bunge.
Amekosea na ameshaomba radhi kwa Wakristo wote.Hivi unaiona ruti aliyoizungumza iko sawa?
Kasome luka
He was wrong and he has apologized to all Christians. As Christians let's us forgive him and move on.Msikilize Ndugai halafu soma kitu Biblia inasema.
4 So Joseph also went up from the town of Nazareth in Galilee to Judea, to Bethlehem the town of David, because he belonged to the house and line of David. 5 He went there to register with Mary, who was pledged to be married to himand was expecting a child.6 While they were there, the time came for the baby to be born, 7 and she gave birth to her firstborn, a son. She wrapped him in cloths and placed him in a manger, because there was no guest room available for them.
Halafu utasemaje "distance zote nazijua na umbali wake". Kukosea amekosea kwa bahati mbaya ila hakuwa makini na alikuwa too ambitious!Hivi una nini Ndugai? Mbona kashfa zimekuzidi wewe jamaa?View attachment 1918171
Amekubeba huyo!Huyu tusimhukumu sana kwa kuwa aliwahi kusema ana faili Mirembe. Tuzidi kumuombea apone haraka.