Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 852
- 1,081
Aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo "Yusufu" ni "Yoseph" kuna namna kwenye hili bunge.View attachment 1918647Safari ya kwenda kuhesabiwa Ilianzia Nazareti kwenda Bethlehemu, mji wa Daudi, na sio Nazareti kwenda Yerusalemu
Hivyo sisi wakristu na watanzania wengine bado tumekwazika, kwa kanusho kuendelea kupotosha[emoji34]
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Halafu 'alitembea' nae njia nzima, ni hatari😂😂🙌Yesu alikuwa na mke kumbe aise.🤣🤣🤣
Kama ni Yusuf c angesema yosefu Apo kakosea nd maana mwenyw kaomba radhi mkuuAlimaanisha Yusuf kuweni na akili za kuvukia hata road
USSR
Ila yawezekana Ndugai alikuwa ni Petro kipindi hicho cha Yesu hapa katuibia lonja tu.Halafu 'alitembea' nae njia nzima, ni hatari😂😂🙌
Me naona kama mchapio tu wa jina, lengo lilikuwa Yosefu na mke wake Maria .
Kumbe inauma uongo juu ya Nabii...Habari wadau, naamini jukwaa hili ni huru hivyo naruhusiwa kutoa maoni. Nimesikia spika wa bunge letu Mh Ndugai akizungumza habari za Yesu na mke wake.
Mimi naamini ingekuwa ni kosa la ulimi kuteleza angeligundua na kusahihisha papo hapo, kwa maoni yangu ni kwamba alifanya makusudi au hakuwa anatafakari kila anacho tamka (yaani kinachotoka mdomoni hakikurudi akilini ili ajue ni sahihi au la.
Uzungumzaji wa aina hii haufai, aitwe ahojiwe kwa kusema uongo, kudhihaki na kushusha hadhi ya Bunge.
Yesu ni zaidi ya nabii, Ndugai ahojiwe keshoKumbe inauma uongo juu ya Nabii...
Nilijua ni upande ule tu ndio huwa wanakasirika.
Nimeshatembea Galilaya ,Nazareti ,kapernaumu utaniambia nini sisi wengine hatutaki kujisifiaLet say basi ni Yusufu na mke wake.
Hiyo movement anayojitapa kuifahamu iko sahihi?
Sikiliza tena na Soma Kitabu cha Luka...
Utamwambia nini kashatembea Galilaya ,Nazareti hadi kapernaumu karibia zaidi ya mara nneKwa mujibu wa maandiko Maria hakuwa mke wa Yosefu Bali walikuwa wachumba
Huyu ndugai atakuwa kuna fyuzi zake hazipo sawa
Mm nimeona kuna wabunge walipiga makofiWakati nasikiliza nilidhani nimesikia vibaya