Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

Ha ha ha
 
Watanzania bwana, wana nongwa kweli. Mtu ameshaomba msamaha lakini bado watu wanaendelea kumsakama. Ni dhahiri hapa kuna chuki binafsi.
 
Huyu tusimhukumu sana kwa kuwa aliwahi kusema ana faili Mirembe. Tuzidi kumuombea apone haraka.
 
hizo ndio akili za wapinzani wa Serikali. Ila wako wachache sana hawana madhara. Ndugai mi nimempenda sana anautendea haki mhimili wa bunge, angefaa hata kuwa Rais wa nchi hii awashughulikie vizuri wapuuzi km kina Gwajima...
Jadili hoja ya Yesu kutembea na mke wake. Inamaana alitaka kusema walipofika Nazareth akalala na kufanya nini Kama wangekuta sehem ya kulala?
 
Yaaani kwel bunge zima, wamshauri wa spika wote, muda ule ule walishindwaje kumpa memo fup aweze kurekebisha?

Kinacho umiza na kushangaza, spika labda alikosea kwel, lakin wabunge wote alishangilia hakuna aliye omba mwongozo!!!

Naomba kujua ni wabunge wangapi wamechanjwa labda hapo ndo hisia zangu zitanipa maamuz sahihi.

Lakin pamoja na hii, spika motive yake alitaka kujenga hoja Gwajima aonekane wa hovyo kweli kweli Ila tu Mungu akageuza kibao . Yeye Spika na bunge lake ndo kwa tukio hili wanaonekana wa hovyo kwel kwel. Huyo ndiye Mungu ageuzae kibao kwa maadui wake.

Baba Kajamba mbele ya watu kwa sauti PUUUUUU, na watoto wake wamechekea ushuzi wa baba yao kwa sauti mbele ya kamera.
Kaz iendeleee
 
NDUGAI ANA ILE KINGA BABU KUBWA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Akiitwa na kamati nakupa zawadi ya Mbuzi mmoja uumle supu 🤣 🤣 🤣
 
He was wrong and he has apologized to all Christians. As Christians let's us forgive him and move on.
 
Wamrudishe kwa makabachori akashugulikiwe vzr alichokua anatibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…