Platformtz
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 266
- 405
Bunge halifanyi kazi kwa kauli za mbunge mmoja mmoja na serikali inapaswa ifanye kazi yake kwa kuangalia maslahi ya kila upande sasa katika hilo uenda kuna wazazi wamelalamika hivyo katika hali hiyo ni wajibu wa serikali kufanya uchunguzi kabla hatua stahiki kuchukuliwa,serikali haifanyi kazi kama mganga wa kienyeji iseme itapiga ramli.Kosa la kucheza mziki linaitaji uchunguzi gani? Tuache kushabikia vitu vya hovyo. Kazi ya mbunge ni kuishauri na kuisimamia serikali, Tulia kakosea nini kama mbunge na spika au wewe ndiye unaetafuta sifa kwa waziri.
Tatizo lipo wapi? Mbona siku za graduation mziki unapigwa sana ?Ulishawahi kuona kampeni za FISIEMU panakuwa na mziki kabisa !?HUYU MAMA AKAE KIMYA
Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Sasa unazuiaje Shuleni wakati nyumbani wanasikiliza?
Mkuu umeiona clip?
Pengine hata walimu walikuwa hawajui nyimbo ile imaimbwaje ila watoto wale waliimba nyimbo kuanzia mwanzo mpaka mwisho..
hiyo ingetosha kutoa picha kwamba mwenye kosa sio mwalimu aliyecheza nyimbo hiyo ila mwenye kosa ni BASATA kuachia nyimbo kupigwa ikiwa haina maadiki
Watoto wanabambiana na kushikana maeneo nyeti hali inayoweza kuwapeleka nyegezi kutafuta usafiri wa haraka.Maadili kwa misingi ipi!?..ulokole au uislam!?
KWENDRRRRRAAAAAA💥💥💥Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Watoto hawajaota maziwa,nyege zitoke wapi?Watoto wanabambiana na kushikana maeneo nyeti hali inayoweza kuwapeleka nyegezi kutafuta usafiri wa haraka.
Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Role ya mwalimu ni kulea pia, so jamii inategemea vitu vikubwa zaidi ya kuwachezesha watoto nyimbo za kipumbavuWewe unaona walimu ndio punching bag na kada ya kuonewa tu. Akina Zuchu na Harmonize si huwa wanaitwa kwenye kampeni za CCM kukata viuno, na kampeni hizohizo watoto wa shule huwa wanakuwepo.
Sasa yanini walimu ndio wafukuzwe kazi peke yao. Serikali inatumia kigezo gani kusema wimbo wa Zuchu hauna maadili wakati serikali hiyohiyo kupitia BASATA iliuruhusu na huwa haifanyi rating ya age.
Mwanangu Nape msala huooo!Kwani waziri wa musiki anasemaje
ubavu wanao sasa?Kma umemuelewa alishindwa kusema moja kwa moja kwamba kwanini hawakuanza na Zuchu mwenyewe halafu wakafata walimu halafu na wwngine wakafata kuonea upande mmoja haifai wanatakiwa wawarudishe waalimu halafu zuchu ale Ban ya kwenda halafu ndo ziendelee mishe zingine
Shida siyo nyimbo bali inapigwa wapi? Huwezi kusikia gospel inapigwa msikitini au kaswida inapigwa kanisani. Hali kadhalika, nyimbo zenye maudhui ya ngono hazitakiwi kupigwa kwa watotoBasata ndio wasimamizi wa maudhui na waliibariki nyimbo iwe hewani.
Wangekuwa wanaruka nyimbo iitwayo '"'Yesu ni bwana"" ingekuwa ni sawa?
#YNWA
Kwahiyo kwa sababu hawajaota maziwa wewe unaona sawa tu!Watoto hawajaota maziwa,nyege zitoke wapi?
Maudhui yapi ya ngono huku basata wameibariki?Shida siyo nyimbo bali inapigwa wapi? Huwezi kusikia gospel inapigwa msikitini au kaswida inapigwa kanisani. Hali kadhalika, nyimbo zenye maudhui ya ngono hazitakiwi kupigwa kwa watoto
Mimi ni mtumishi haya unayosema nayajua vizuri kama ungesikiliza mahijiano yote ya spika na Waziri inaonekana kwamba wamepewa adhabu na sio kusimamishwa tu!Serikali imekuwa ikifanya hivi mara kwa mara na hata imeshatokea mara kadhaa kwa wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali na maofisa wengine wa serikali kusimamishwa kazi inapotokea kiongozi au mtumishi ametuhumiwa kwa kosa fulani na lengo hasa ni kumzuia mtu huyo asiingilie uchunguzi utakaokuwa ukifanywa juu ya tuhuma dhidi yake na uchunguzi utakapokamilika ndipo hatua stahiki zinachukuliwa na pale inapobainika mtumishi hakuwa na makosa basi urudishwa kazini na kulipwa stahiki zake zote.
Na ni pale uchunguzi unapofanyika ndipo mtuhumiwa uhojiwa na kupata fursa ya kujitetea.
Na waimbaji wote haoDr Tulia.. Kwenye Hili naku unga mkono!
Tuacheni masihara hako kanyimbo ka zunchu honey kila mtoto huku mitaani wanaimba.
Mfano hauendani na Mada husika mkuu!Wewe unaweza kwenda kufanya ngono kanisani? Na Paroko akikukamata watu wamuulize ni kwanini anakukamata wakati ulikuwa unaifanya ngono vizuri sana?
Kila sehemu ina taratibu zake, kama hao watoto wameharibikia huko makwao, kuna watoto wengine ambao wako salama, wasiharibiwe. Shuleni ni mahali pa kusoma, kuna maadili yake!