Kwani sisi waafrika maadili yetu kimsingi ni yapi?Mkuu me naonaga wako Sawa tu ni kitengo chake😅😅
Hao unao waita hizo hio nyimbo wanaijuia kuiimba na kucheza, wanafanya hivyo huko majumbani kwaoKwa age ya watoto kama wale nasema haifai kuanza kujua ujinga kama huo
Hasa wimbo ulivyo unafunza watoto kuwa na boyfriends kitu ambacho hakitufai hata kidogo
Watoto umri ule haifai waanze kujua haya
Na huu ndio ukweli wenyeweKma umemuelewa alishindwa kusema moja kwa moja kwamba kwanini hawakuanza na Zuchu mwenyewe halafu wakafata walimu halafu na wwngine wakafata kuonea upande mmoja haifai wanatakiwa wawarudishe waalimu halafu zuchu ale Ban ya kwenda halafu ndo ziendelee mishe zingine
hawakutakiwa kusimamishwa, walitakiwa kuonywa tu. ila hiyo sio kauli ninayotegemea kuisikia toka kwa Tulia, mtoto wa mchungaji wa kilokole, na yeye mwenyewe ni mlokole. ati mtoto wangu ameenda shule, halafu anaenda kuimbishwa wimbo wa honey wa zuchu, hakuna nyimbo zingine zinazojenga? binafsi nisingependa mtoto wangu aibishwe ule uchafu. Tulia ajitafakari.Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..
"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni
hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe
View attachment 2806039
View attachment 2805928
Sasa unataka shuleni zipigwe nyimbo za akheranafikiri ifike mahali iwe ni marufuku miziki ya kidunia mashuleni
Kwa kosa la kupiga mziki?Hawa walimu ingekuwa mimi ningewafukuza kabisa kazi. Ningekuwa tayari kupoteza uwaziri kwa sababu yao
Hawa walimu ingekuwa mimi ningewafukuza kabisa kazi. Ningekuwa tayari kupoteza uwaziri kwa sababu yao
ingependeza zaidi kwani dini humjenga mtoto zaidi katika mlengo chanya kimaleziSasa unataka shuleni zipigwe nyimbo za akhera
Waanze na viongozi wa baraza la sanaa waliotoa kibali wimbo upigwe popote halafu afate waziri kisha ndo hao walimu wafukuzwe.Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Hapo nyumbani kwako wanao wanaimba kutwa kucha. Hata hawajui maana ya honey wala nini. Midundo na rhythm ndio zinawaletea raha. Hicho kisauti kinatokeza kama cha watoto hivi. Walimu wasamehewe manake DJ aliweka Playlist yake bila kuwashirikisha Walimu. Wangeuzima huo mziki ungeona tafrani yake Hata kurushiwa maweSiyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Kwakweli si ungi mkono walimu wakuu kupewa adhabu pasipo kufuata taratibu za kiutumishi..Lakini wewe kama mzazi upo comfortable kusikiliza au kuangalia video za mziki ambazo zina maudhui ya kingono?Hapo nyumbani kwako wanao wanaimba kutwa kucha. Hata hawajui maana ya honey wala nini. Midundo na rhythm ndio zinawaletea raha. Hicho kisauti kinatokeza kama cha watoto hivi. Walimu wasamehewe manake DJ aliweka Playlist yake bila kuwashirikisha Walimu. Wangeuzima huo mziki ungeona tafrani yake Hata kurushiwa mawe
Hapo ibaki malezi ya mmoja mmoja. Nyumbani kwake kila mtu na malezi yake lakini si dalili nzuri kwa malezi hayo. Sio kwa sababu wanajua basi tuwaache waendelee kujuaHao unao waita hizo hio nyimbo wanaijuia kuiimba na kucheza, wanafanya hivyo huko majumbani kwao
Mpuuzi huyu, mbona ana covid 19 akijua fika hawana uhalali wa kuwa pale.Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..
"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni
hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe
View attachment 2806039
View attachment 2805928
Anajibizana na watu Twitter huko wanampondea tu 😅😅Mwanafalsafa anasemaje kwani
Hiyo siri ya kambi mkuuMpuuzi huyu, mbona ana covid 19 akijua fika hawana uhalali wa kuwa pale.
Hii inaonyesha jinsi the so called viongozi wasivyojielewa.Inasikitisha sana kwamba Wanaoitwa viongozi do not know what is right and wrong.Very sad.Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..