Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

Kwa age ya watoto kama wale nasema haifai kuanza kujua ujinga kama huo

Hasa wimbo ulivyo unafunza watoto kuwa na boyfriends kitu ambacho hakitufai hata kidogo

Watoto umri ule haifai waanze kujua haya
 
Hao unao waita hizo hio nyimbo wanaijuia kuiimba na kucheza, wanafanya hivyo huko majumbani kwao
 
Kma umemuelewa alishindwa kusema moja kwa moja kwamba kwanini hawakuanza na Zuchu mwenyewe halafu wakafata walimu halafu na wwngine wakafata kuonea upande mmoja haifai wanatakiwa wawarudishe waalimu halafu zuchu ale Ban ya kwenda halafu ndo ziendelee mishe zingine
Na huu ndio ukweli wenyewe
 
Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..

"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni

hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe

View attachment 2806039

View attachment 2805928
hawakutakiwa kusimamishwa, walitakiwa kuonywa tu. ila hiyo sio kauli ninayotegemea kuisikia toka kwa Tulia, mtoto wa mchungaji wa kilokole, na yeye mwenyewe ni mlokole. ati mtoto wangu ameenda shule, halafu anaenda kuimbishwa wimbo wa honey wa zuchu, hakuna nyimbo zingine zinazojenga? binafsi nisingependa mtoto wangu aibishwe ule uchafu. Tulia ajitafakari.
 
Sijawahi kudhani itakuja siku nitakubaliana na Betina. Ila kwa hili kanena kweli tupu.
 
Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Waanze na viongozi wa baraza la sanaa waliotoa kibali wimbo upigwe popote halafu afate waziri kisha ndo hao walimu wafukuzwe.

ROHO ZA KICHAWI TU MNYONGE NDO AADHIBIWE. YAANI LINYIMBO LINAPIGWA KILA KONA YA NCHI WATOTO WANAJUA BETI ZOTE MWALIMU KUUCHEZA KWENYE TUKIO MOJA LA SHULE YEYE NDO ASIMAMISHWE WATOTO WAKE WAFE NJAA.
 
Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Hapo nyumbani kwako wanao wanaimba kutwa kucha. Hata hawajui maana ya honey wala nini. Midundo na rhythm ndio zinawaletea raha. Hicho kisauti kinatokeza kama cha watoto hivi. Walimu wasamehewe manake DJ aliweka Playlist yake bila kuwashirikisha Walimu. Wangeuzima huo mziki ungeona tafrani yake Hata kurushiwa mawe
 
Kwakweli si ungi mkono walimu wakuu kupewa adhabu pasipo kufuata taratibu za kiutumishi..Lakini wewe kama mzazi upo comfortable kusikiliza au kuangalia video za mziki ambazo zina maudhui ya kingono?
 
Hao unao waita hizo hio nyimbo wanaijuia kuiimba na kucheza, wanafanya hivyo huko majumbani kwao
Hapo ibaki malezi ya mmoja mmoja. Nyumbani kwake kila mtu na malezi yake lakini si dalili nzuri kwa malezi hayo. Sio kwa sababu wanajua basi tuwaache waendelee kujua

Lazima tuwawekee mipaka
 
Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..

"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni

hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe

View attachment 2806039

View attachment 2805928
Mpuuzi huyu, mbona ana covid 19 akijua fika hawana uhalali wa kuwa pale.
 
Hii inaonyesha jinsi the so called viongozi wasivyojielewa.Inasikitisha sana kwamba Wanaoitwa viongozi do not know what is right and wrong.Very sad.
 
Back
Top Bottom