Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

kwa nini ujitese wakati kuna vipnd bora kabisa vya sport kama vile sport extra na kipenga usitishwe na ukubwa wa majina ya watangazaji angalia content
 
Acha roho mbaya na chuki
Sina chuki mkuu,ni mtazamo wangu tu.......na hatuwezi fanana kimtazamo daima,mimi nitaona hivi ila wewe utaona vile,ni hayo tu usinitafsiri vibaya,hao watu nawasikia tu redioni sasa kwanini niwachukie?na nikiwachukia napata nini?
 
Onyesha = Onesha.

Njoo darasani nikufundishe namna ya utumiaji wa koma.

Alama ya koma hukaa kama ifuatavyo "Onesha, inatokana na kitenzi ona kikiwa na maama ya tazama au angalia."
Upeo wako mdogo sana mdogo wangu.
 
lugha ni art, na kila mtu ana swaga zake za kiundashi, usiishi kwa kukrem, don't take everything serious, life is very simple, kama mimi uandishi wake unanipa attention ya kusoma na tukaelewana, hilo ndiyo dhumuni la lugha, hayo ma grammar yako peleka kwa wanafunzi wako shuleni, humu watu wamesoma tena huyo unayemkosoa si ajabu akawa profesa wa kilimo somewhere, acha ujuaji.
Hakika mkuu,
 
lugha ni art, na kila mtu ana swaga zake za kiundashi,
Kiundashi ndio nini?

usiishi kwa kukrem,
Kukrem ni nini?

don't take everything serious, life is very simple,
Super disheartening Sir kwangu life is so difficult can you just show us a way of that so-called simple life?

kama mimi uandishi wake unanipa attention ya kusoma na tukaelewana, hilo ndiyo dhumuni la lugha, hayo ma grammar yako peleka kwa wanafunzi wako shuleni, humu watu wamesoma tena huyo unayemkosoa si ajabu akawa profesa wa kilimo somewhere, acha ujuaji.
I don't care what i care ni aina yake ya uandishi bila kusahau wako pia Sir!
 
Kiundashi ndio nini?

Kukrem ni nini?

Super disheartening Sir kwangu life is so difficult can you just show us a way of that so-called simple life?

I don't care what i care ni aina yake ya uandishi bila kusahau wako pia Sir!
tafuta hela dogo, mambo ya grammar hayana tija hii karne...what matters ni kuwasiliana na ndiyo maana hata wasiyoona, wasiyosikia, wasiyokuwa na mikono wala miguu wanafaulu vyuo vikuu, punguza ujinga.
 
Naona momo anawatoa kwenye topic nanyi mnaelekea huko anakokutaka[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Hapo akiwepo kitenge kama muongozaji ndio huwa kuna fujo sana.

Pia kuna lijamaa linaitwa Paul Mkai ni wa hovyo balaa.

Kipindi kinakuwa cha kitaalam kama atabaki Yusuph Mkule kama mtangazaji na George Ambangile au Eddo ndo wawe mchambuzi kipindi kinakuwa vizuri sana.

Lakini wakijazana hapo ni fujo sana.
 
Hahah.kwahyo kumbe ishu ni liverpool..au sabab wanaiponda sana yanga
 
Hapo akiwepo kitenge kama muongozaji ndio huwa kuna fujo sana.

Pia kuna lijamaa linaitwa Paul Mkai ni wa hovyo balaa.

Kipindi kinakuwa cha kitaalam kama atabaki Yusuph Mkule kama mtangazaji na George Ambangile au Eddo ndo wawe mchambuzi kipindi kinakuwa vizuri sana.

Lakini wakijazana hapo ni fujo sana.
sahihi kabisa mkuu,wakijazana inakuwa fujo tupu
 
Onyesha = Onesha.

Njoo darasani nikufundishe namna ya utumiaji wa koma.

Alama ya koma hukaa kama ifuatavyo "Onesha, inatokana na kitenzi ona kikiwa na maama ya tazama au angalia."
tumekustukia momo unatuchepusha kwenye mada ya msingi, lete namba hiyo maana siwezi jua
 
Sina chuki mkuu,ni mtazamo wangu tu.......na hatuwezi fanana kimtazamo daima,mimi nitaona hivi ila wewe utaona vile,ni hayo tu usinitafsiri vibaya,hao watu nawasikia tu redioni sasa kwanini niwachukie?na nikiwachukia napata nini?
Heading uliyotumia kutoa mawazo yako unaonekana unachuki bure.

Mimi binafsi siwezi kusikiliza kingine Kama sio S.Arena.Ukisema ninkipindi Cha hivyo.Hili neno hivyo ndo linaonekana haliko sawa.Hata Kama Kuna upungufu Fulani Basi ungesema ili utatuliwe,Ndo maana wanasema "ni yetu sote".Toa maoni yako watayafanyia kazi.na sio vijembe
 
Back
Top Bottom