Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

Point of corrections; samaki hali nyamafu!
 
Nilienda huko mwaka 2013...tulikua na project pia...yani nilikua nasikia habar za huko kwamba wachawi sijui nini...nilikua nasali aiseee...ila kumbe walaa labda wanalogana wenyewe...wana vijiji vzr sanaa...greenish yani...nadhani kwa sbb ya kuwa juu ya maji...sema ndo nimeshasahau kabisa vijiji vyote majina yake...labda mtu ataje ndo nitakumbuka
 
Embu tupe sababu kwanini ukerewe hakufai mkuu
 
Kumbe jamaa mzaramo wa bara 🤣🤣
 
Goziba ni balaa mkuu niliwahi kufika huko mwaka fulani watu wanakula bata na wanapesa sio mchezo yani kule ni starehe tu.

Kuna kisiwa kingine kinaitwa gana/ghana wenyewe wanapaita mkoani aise starehe za huko sio mchezo watu kule wanapesa bhana.
Sijawahi kuona sehemu watu wanakula bia kama visiwani yani kila siku meli zinashusha shehena Na kreti za pombe aisee, tena ndio dagaa na samaki ziwe zinapatikana ni balaa.
 
Aisee vipi bei ya mbususu? Huku dar tunapigwa sana, mbushsu imeshafika 100k bao moja. Hatari hii
Bora dar bei za dodoma ni hatari na nusu wanadhani kila mwanaume aliyeko dodoma yuko serikalini 😁🤣
 
Nansio
Kerege
Namagondo
Namasabo
Ngoma
Siza
Mriti
Mlezi
Bugondo
Soko Mjinga
Libya msitinu
Kakukuru
Ukara
 
Basi ni pazuri kuwekeza guest house utapiga Hela huko.
Acha kabisa mkuu, huko Goziba kuna jamaa anaguest zaidi ya tano zinaitwa Jangwani aisee Yule mwamba anapiga hela chumba buku 5 tuu Na ni full mabati tuu watu wanakodi kuanzia mwanzo wa Giza mpaka mwisho wa Giza mda wote zimejaa.
 
Gest visiwani ni za mabanzi tu
Gesti Kulala buku 2
Vitanda vya zege
Ukipeleka ustaarabu wa gest utalala mwenyewe
Kuna kisiwa kimoja nilifika huko kinaitwa IRUGWA kimepaka na kisiwa kingine kinaitwa LYEGOBA ukanda wa ukerewe na mara aise huko kuna guest kama za mjini ni balaa yan balaa. Kuna kiwanja kimoja wanakiita NYEGEZI aise starehe za huko sio mchezo...Kuna raha za ajabu ukienda huko unaweza tamani ubaki huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…