Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Pisi zinapenda pesa hatar
Na sisi kauli mbiu ni 😂😂
FB_IMG_16973076517525546.jpg
 
Umenikumbusha lil wayne anaposemaga POOP PEE POOP PEE POOP PEE..kwa starehe zako hizo na upo ndani shughuri nyingne hiyo poop pee
Call me crazy but I have this vision
That one day, I walk among you
As a billionaire civilian,

But until then let my hustle drum Keep being beaten,
my sweat and blood keep being spitted Forest Hill
 
Joseon gun man
Heartless city
Tell me wat you saw
Tax driver s1&s2
The mouse
Hell bound
A very lucky day
Bastard
Han river
Pandora beneath the paradise
The devil
nsanzu, nsanzu
 
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.

👉Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.

👉Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.

Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
👉Watu wa style kama yangu, huwa mnaishije🤒
View attachment 2783816
Sawa shivo

Komaa na hiyo style
 
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.

[emoji117]Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.

[emoji117]Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.

Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
[emoji117]Watu wa style kama yangu, huwa mnaishije[emoji855]
View attachment 2783816
.
255613055912_status_dacb8330067c4ad4a5504fbe082c3609.jpg
 
Back
Top Bottom