Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆 pole sana aisee
Mshtuko wake wa hasira hapo sipati picha.
Asante sana Mkuu😃
Hapo nalud nawaza nifike home fasta nimalizie animation moja ya kijapan inatwa ippo Makonouchi nilikuwa nimefika patam kwel nawasha Pc naenda kwenye local disk nakuta mbona space ipo kubwa hivi😃 kuingia ndani folder halipo😅

Hapo nikajua kumbe mapenzi hayaumi kabisa Yani 😅😅😅
 
Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.

👉Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.

👉Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.

Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
👉Watu wa style kama yangu, huwa mnaishije🤒
View attachment 2783816
Muda wa kanisani je?muda wa kuomba je? Ongeza kwenye ratiba yako Tena iwe ndo jdmbo la kwanza
 
Asante sana Mkuu😃
Hapo nalud nawaza nifike home fasta nimalizie animation moja ya kijapan inatwa ippo Makonouchi nilikuwa nimefika patam kwel nawasha Pc naenda kwenye local disk nakuta mbona space ipo kubwa hivi😃 kuingia ndani folder halipo😅

Hapo nikajua kumbe mapenzi hayaumi kabisa Yani 😅😅😅
Kaka nahisi uli ona ni Kama ume fanyiwa usaliti😃🤣🤣.
👉Dah usiku hauwezi kulala, una waza Jambo la kumuambiaa mtuhumiwa🤣😃🤒
 
Back
Top Bottom