Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Asante sana Mkuu😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆 pole sana aisee
Mshtuko wake wa hasira hapo sipati picha.
Hapo nalud nawaza nifike home fasta nimalizie animation moja ya kijapan inatwa ippo Makonouchi nilikuwa nimefika patam kwel nawasha Pc naenda kwenye local disk nakuta mbona space ipo kubwa hivi😃 kuingia ndani folder halipo😅
Hapo nikajua kumbe mapenzi hayaumi kabisa Yani 😅😅😅