Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wajumbe pigeni kura za hapana. Mzee wa watu apumzike tafuteni damu changa nyenye mawazo chanya, vinginevyo chama kinazidi kudhoofu mtasaisiwa hadi lini wakati wa chaguzi ndugu zangu.
 
Hakuna cha ukimya, Pinda ndiye mtu mwenye sifa za kuwa Makamu Mwenyekiti kwa sasa.
CCM siyo CHADEMA!
 
Huyo pinda ametajwa wapi, tupo live hatujasikia pinda ila wasira.
Au ni kwenye ndoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…