Stephen Wassira: Watanzania wamemuelewa na kumuunga mkono Rais Samia; wanasema kiwango chao cha furaha kimeongezeka

Jamani vipi Mzee wetu Lugemarila bado anaozea jela? Wakati Raisi Samia ameagiza Manji arudi awe huru hii imekaaje
 
Wote hofu ilikua juu hasa pale mambo hayapo sawa na yanaonekana ila "nani kumfunga paka kengele"?.. ndio mtihan ulipokua
 
kwa kujumuika na matapeli kama hawa mtanzania afurahie kifo cha jpm kweli[emoji3][emoji3][emoji3].

yaani ukweli safari hii unataka kukimbia kufika kabla ya uongo.
 

kawaida ya watu kutumia njaa kufikiri.

swala la wakati kuleta majibu lazima lieleweke vyema.
 
Kuna watu walikuwa wanasema eti mwendazake alikuwa anachukiwa na wapinzani pekeee .

Leo hii vigogo wa ccm wameqnza kumwaga mboga kwenye kundi la watu wenyw ugali wao mkononi.

ndio mjitafakari mmesimama upande gani[emoji23][emoji23][emoji23]

wanasema adui wa adui yako ni rafiki yako.kinyume chake hujielewi hata wewe ni nani[emoji38].
 
Wassira pisha huko....Nani anayecheka wakati rais hajagusa hata kiini Cha furaha kutoweka. Mishahara na mafao ya wastaafu bado eneo Hilo amelikwepa.
 
Hata ndugaye rafiki yake kesha fanya yake

ndugai wa bandari ya bagamoyo[emoji28][emoji28].

siku moja mpinzani mkubwa kabisa atasimama aitishe waandishi na kumtaja magufuli kama kiongozi bora kuwahi kutokea.

Mungu akusaidie,anisaidie siku hiyo nikukumbushe quote yangu hii.
tuendelee kuishi mkuu.
 
Huyu mzee usikute bado anaota uteuzi
 
siku moja utakuja kuelewa.

ni kwanini alipendwa na wengi.
We we na wanufaika wenzio ndio mlimpenda na matahila mandazi kama nyie ila mtz mwenye timamu hakuwahi lipenda fisadi lilotia hasara taifa
 
Jamani vipi Mzee wetu Lugemarila bado anaozea jela? Wakati Raisi Samia ameagiza Manji arudi awe huru hii imekaaje
Ni suala la muda na utaratibu Mzee Rugemalira atatoka. Mama Samia hataki kufanya kama Mwendazake alivyoingia gereza la Butimba na kumwamuru Mkuu wa Gereza awatoe wale watorosha dhahabu
 
We we na wanufaika wenzio ndio mlimpenda na matahila mandazi kama nyie ila mtz mwenye timamu hakuwahi lipenda fisadi lilotia hasara taifa

mbona hasira kali!!!

unadhani kifo chake kinaondoaje umasikini wako kama akili zako bado zimelala kama ubagi wa hanithi???
 
Well said bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…