Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

huyo Stive Nyerere ni kijana wa kada wa CCM Iringa almaarufu Asas na miaka yote CCM humtumia kwenye siasa zake za majitaka
Hao wote johnmbatizaji na huyo nyerere ni maombaomba wamekutana sebuleni kwa Asa's kila mmoja anashida yake sawa wanasukumiana nani aanze kusema shida zake mbele ya mwenzie wanashindwa kusema shida zao wameanza kulazimishana kutoka mlangoni kwa tajiri
JOHN- we nyerere tangulia kutoka mimi Nina shida na ustaadhi
NYERERE- anasema toka kidogo wewe john Mimi nilikuwa Nina mazungumzo mda mrefu umenikuta hapa
 
Hivi yule mwenye kiwanda cha maziwa siametia nia ya kugombea ubunge iringa?
 
Steve Nyerere hata "UBALOZI WA NYUMBA 10" hauwezi, achilia mbali ubunge. Asifikiri kuna "MADAFTARI" ya misiba kule bungeni (atawakera wabunge wenzake kuomba lifti za mafari kila kukicha).
 
ccm haijui hilo
 
CCM wanaojitambua ndio wapo pamoja na wapinzani.
 
Kwa jinsi watanzania walivyo kama makondoo na kwa jinsi ambavyo CCcM huwa haitegemei kura kuchukua dola, naapa CCcM watatumia vigaragosi kuwang'oa vigogo wa upinzani kutoka kwenye majimbo yao na ndiyo maana Zitto ameshutukia mapema na kukimbilia kwa wazungu kwenda kuomba kinga!
 
Unajua sayansi ni nini....wewe jamaa ni bwege mtozeni.
Hivi nyinyi watanzania mbona mabogus sana? Mkiambiwa mwende shule hamuwezi kazi kukalia umbea na ujinga ujinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya kuita wanzania mabogus acha kuanzia leo, kuna wengine ni baba zako wa kufika hapa. Ongea vizuri na mamako
 

Sasa kama anarekodi ya kulia misibani, atakaposhindwa si atavyunja rekodi ya kuzimia?

Hivi hawa vibaraka wa ccm walilogwa na nani? Wakipingwa na kuambiwa ukweli, basi wanakasirika na kuwaka uadui.
Atuambie tangu aanze kazi ya usanii alisha leta watalii wangapi wa ndani achana na watalii wa nje?

Je yeye mwenyewe alishatembelea vivutio gani kabla ya ofa waliyopewa na kighangala?

Anafikiri kuleta watalii ni rahisi kama kuchekesha watu?

Huyu ni wa kupuuzwa
 
Nikiangalia uwezo wa wabunge wengi wa ccm mjengoni naona kabisa Stive anafaa, istoshe katiba imetamka wa kila raia ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa ilimradi ajue kusoma na kuandika.

Acha akagombee wenye chama na wananchi ndio watakaoamua.
 
Unajua sayansi ni nini....wewe jamaa ni bwege mtozeni.
Hivi nyinyi watanzania mbona mabogus sana? Mkiambiwa mwende shule hamuwezi kazi kukalia umbea na ujinga ujinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umekasirika sana bwashee?

Ni kama vile kuna jambo linakutesa sana meku!.........hahahaaaa pole.
 

eti rekodi yake ya kuhudhuria misiba🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni haki yake ya kikatiba kuwania ubunge.

Lakini ningekuwa mpiga kura, kura yangu asingepata.

Hana mipango inayoeleweka wala historia yenye sifa zinazohitajika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…