Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

Hahahaaaa......... CCM siyo kama Chadema mnagombania ruzuku huku fursa kibao ubunifu wako tu!
 
Simuungi mkono.anapenda kuongea hovyo bila kufikiri hawezi kuwa mwakilishi mzuri wa watu wa iringa
 
Rubbish. Mbona wewe mwenyewe hujaweka sababu za kumuelewa ?
Wakuu mnaonaje swala steve kuwania ubunge iringa mm kwangu nataman sana iwe hvyo kwa sera zake nimemuelewa sana maoni yenu muhim pia uwe na sababu za kupinga kama unapinga
Asanteni sana

from mudi kidato
 
Huku ni kudhalilisha cheo cha ubunge. Nafasi ya uwakilishi wa wananchi inahitaji mtu serious. Kama vp na Masanja Mkandamizaji akagomee kwao Mbeya!
 
Hv ukileta swali kama hili hapa jf unategemea majibu ya aina gani? Sio kwa Steve Nyerere hata angekuwa nani kama hagombei kupitia ukamanda tarajia apingwe tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada unadai umeridhika na Sera zake. Ni zipi hizo tuwekee tuzione na sie
 
Siasat Ni Asili Mtu Huzaliwa Na Hiyo Kama Talent Ingawa Vyuo Huwaongezea Tu Kupiga Hatuwa.Akomae Na Usanii Wake Ndiyo Ulimpa Kujulikana
 
Who is steve nyerere? takataka toka mitaani nayo mnaipa headline!
 
Mwache awanie kiti, tukumbuke, siasa ni usanii pia, hajakosea hata kidogo...
 
Ni Mtanzania, anajua kusoma na kuandika, anamiliki miaka zaidi ya 18, ana akili timamu.. RUKSA KUGOMBEA NA UAMUZI WANAO WANA IRINGA WENYEWE.

Kuna haja ya Tanzania sasa wapiga kura wapewe Elimu, Asasi za kiraia na taasisi mbalimbali zianze kutoa elimu kwa wapiga kura ili wajue wanapaswa kuchagua watu wa aina gani na watumie akili kuchagua kwa manufaa ya kwao na vizazi vyao..

Dunia inakwenda kasi sana, Wazungu wanagundua teknolojia mpya kila leo bila shaka soon watagundua teknolojia yakuwajua wagombea wenye nia njema na ovu, Mabeberu harakisheni kwenye hili mtusaidie Watanzania...
 
Mada yakindezi ila nami nichangie kidogo,
Kwakuwa wapo wabunge wengi wajinga,wafata upepo,wanaotumika kutukana,waropokaji,wapenda sifa na kujipendekeza zaidi yake naye agombee tuu akipenda japo sioni atapitaje hata ndani ya ccm waliomo wasomi walotulia kama kina Mahiga etc. Kweli wachujwe wao achaguliwe huyo kizabizabina??
 
Wakuu mnaonaje swala steve kuwania ubunge iringa mm kwangu nataman sana iwe hvyo kwa sera zake nimemuelewa sana maoni yenu muhim pia uwe na sababu za kupinga kama unapinga
Asanteni sana

from mudi kidato
Mbunge huwa ana sera? Azitekeleze kivipi wakati yuko chini ya sera za chama?
 
Safi sana namuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…