Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

Wakuu mnaonaje swala steve kuwania ubunge iringa mm kwangu nataman sana iwe hvyo kwa sera zake nimemuelewa sana maoni yenu muhim pia uwe na sababu za kupinga kama unapinga
Asanteni sana

from mudi kidato
Steve Nyerere?
Iringa?
Kwani kuna msiba wa nani huko?
 
Wakuu mnaonaje swala steve kuwania ubunge iringa mm kwangu nataman sana iwe hvyo kwa sera zake nimemuelewa sana maoni yenu muhim pia uwe na sababu za kupinga kama unapinga
Asanteni sana

from mudi kidato
Kwani huko Iringa hakuna wakusanya rambirambi wakati wa misiba ?
 
yani great thinkers mnajadili mtu kama Steven Nyerere kabisa?
 
....Maaaarufu sana......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuwahi kujua kuwa msigwa ni mtupu zaidi ya nidhaniavyo.
Majuzi juzi bungeni alikuwa anaponda tu kila kitu, akajitokeza mbunge mwingine akasema usiponde tu toa na solutions, hizo solutions ni very low brain..
Namehauri aendelee kuponda!
 
Hivi kuna watu wanafikiri wananchi ni wajinga kiasi hiki mpaka wamchague punguani kama steve nyenyere
 
kuna majimbo hata ccm wanajua hawawez kushinda hata wafanyeje mf kwa zitto, sugu na msigwa...Akamuulize kafulila kilichomkuta
 
Maajabu haya

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…