Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

Wabunge wa Darasa la Sba ndiyo wanaofanya vizuri kuliko wewe msomi, usisahau ulipotoka, mshindi wa sita ndiyo unakuja kuliongoza Jimbo, hatutaki ubunge wa vimemo, hii ni awamu ya sita .... Automatic Hii ni personal attack aliyofanya Steve Mengere Kwa Hamis MwiniJuma, nadhani yeye alipashwa adeal na Kile alichokizungumza MwanaFA na Sio Jinsi ya MwanaFA alivyopatikana Kuwa Mbunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabunge wote (2020-2025) ni wa vimemo. Ukinunua pumba, usitarajie ukilipika litabadilika kuwa wali. Taifa limepata hasara sana. yaani Taifa bila bunge makini na wanakula pesa ya walipa kodi tu bureee. Acha watukanane wenyewe kwa wenyewe kwanza, sisi tutamalizia baadae. Yuko wapi Ndugai na na naaaa!!!!!!!! ndio hao hao wa vimemo.
 
Ila haka kajamaa kana gundu balaa. Ni kama vile kametembea na bundi. Yani kila sehemu akigusa lazima kutakuwa na walakini. Kwenye misiba kinasemakana kinakula rambirambi, kwenye ubunge wajumbe wakafanya yao, kwenye uigizaji kinaitwa kikuwadi. Yani huyu kiumbe anahitaji aombewe pepo la kukataliwa na kupingwa limtoke.
 
Twende mbele na turudi nyuma hao waliokaa wakamteua huyo jamaa kua kwenye hiyo nafasi hawakutumia akili zao vizuri.Bado tunachukulia sanaa kama kitu cha ovyo ovyo wakati hiyo ni sekta rasmi tunayoweza kuitumia kuleta manufaa makubwa kwa nchi......Lakini pia hii tabia ya kupeana nafasi za usemaji kwenye taasisi mbali mbali kwasababu tu mtu anaongea maneno mengi ya ovyo ovyo ifike mahali iishe.Nasimama na Mheshimiwa Mbunge kwenye hili.hatuwezi kuendekeza ujinga kwakuwapa watu wa ovyo nafasi zakushughulikia mambo yanayoitambulisha nchi kimataifa.
 
Yote tisa, kubwa ni mbunge wa VIMEMO!!!!!!!!!!!!!!! Na sijui jumla yao ni wangapi kama sio wote.
 
Hii interview Ni usaili tosha kua hatoshi Iyo nafas.

Kaongea pumba tupu,
kaingiza chuki za vyama,ubunge na Mambo binafs ya wasanii wkt anajua kabisa anakwenda kuhudumia wasanii wa itikadi zote.

Kiufupi,
Steve aliyoropoka apo yamemuondolea credibility hata kwa wale waliokua wanamuunga mkono apo mwanZo.

Kiufupi,
Steve kakosa ETHICS za kua msemaji.
 
Twende mbele na turudi nyuma hao waliokaa wakamteua huyo jamaa kua kwenye hiyo nafasi hawakutumia akili zao vizuri.Bado tunachukulia sanaa kama kitu cha ovyo ovyo wakati hiyo ni sekta rasmi tunayoweza kuitumia kuleta manufaa makubwa kwa nchi......Lakini pia hii tabia ya kupeana nafasi za usemaji kwenye taasisi mbali mbali kwasababu tu mtu anaongea maneno mengi ya ovyo ovyo ifike mahali iishe.Nasimama na Mheshimiwa Mbunge kwenye hili.hatuwezi kuendekeza ujinga kwakuwapa watu wa ovyo nafasi zakushughulikia mambo yanayoitambulisha nchi kimataifa.
We unashangaa KAMATI! Anza kushangaa na wabunge wa VIMEMO!
Kama unasema KAMATI ni sekta muhimu tunayoweza kuitumia kuleta manufaa, na BUNGE je? Tujisahihishe na kujitambua. Wa VIMEMO!!!!!! Si wa uwezo (akili)
 
Kazidi kuwagawa badala ya kuwaunganisha..w
Saiv akae kimya baada y mwezi hivi watasahau then ataanza kazi...
 
Steve hana hoja
Hoja ya wasanii ni kuwa Steve kapatikana kwa njia ya kuvunja katiba ya shirikisho,

Yeye anasema wabunge ni darasa la saba, ndio katiba ya Tz inataka mbunge anaejua kusoma na kuandika,

Asubiri uchaguzi mwaka 2025 si mbali Mungu kama atampa uzima. Anazo sifa zote za kielimu na vyeti vya kumfanya kuwa Mbunge wa Bunge la JMT. Akae kwa kujiheshimu na kujipendekeza pendekeza ili kimemo cha wakati huo kitoshe.
 
Back
Top Bottom