Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

Ishu ya shirikisho la muziki yeye anaingiza na personal issues za ubunge sijui nini, mpumbavu sana huyu na ndio unategemea awe msemaji wa shirikisho la wasanii kweli kabisa?

Anaanza kuingiza ishu za kwamba kuna ACT Mara CHADEMA kweli kabisa mnaona huyu ndio msemaji anafaa?

Anaitisha press conference kuongelea ishu za siasa zake kwamba anampinga sababu za kisiasa???

From the face of it, he is not fit in the position he was appointed
 
Steve Nyerere anazungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 22, 2022

“Nawashukuru wasanii wenzangu na Watanzania wote kwa mchakato ambao ulikuwa unaendelea na bado utaendelea.

“Muungano na ushirikiano wetu ndiyo utatutoa na kutufikisha mbali, kama tukishikamana tukatoa mioyo yetu chuki tutapiga hatua mbele…
Aah! Kumbe huyu macho kumchuzi ndiye Steve, nilimsikia aliposhinda ubunge wa Iringa kupitia CCM dhidi ya Msigwa (Chadema).
 
Tz ina watu wanafki sana Steve ana mapungufu mengi tu ila kwa hili yupo sawa hao wasanii walialikwa ili washiriki mchakato lakini hawakwenda leo hii kachaguliwa jamaa ndo wanajidai wanapiga kelele kwann wasingeshiriki tangu mwanzo ili waweke mtu wanaemkubali? Hao kina mwana fa wanakuja kujitokeza jana wanatoa shit wakat tangu mwanzo hakutaka kushiriki.
 
Wabunge wa Darasa la Sba ndiyo wanaofanya vizuri kuliko wewe msomi, usisahau ulipotoka, mshindi wa sita ndiyo unakuja kuliongoza Jimbo, hatutaki ubunge wa vimemo, hii ni awamu ya sita .... Automatic Hii ni personal attack aliyofanya Steve Mengere Kwa Hamis MwiniJuma, nadhani yeye alipashwa adeal na Kile alichokizungumza MwanaFA na Sio Jinsi ya MwanaFA alivyopatikana Kuwa Mbunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda mkuu ndio ile Kwenye vita hatuchagulia siraha
 
Huyu kijana wangempa ubunge, ambao hawajasoma mara nyingi hufanya vizuri.
 
This guy is very stupid.

Hii kitu ya kuchanganya siasa kwenye kila jambo, taasisi na mambo mengine ndio inatukula sana watanzania. Yani Stive badala ajibu kuhusu jambo husika, anaingiza mifano ya kisiasa mala vimemo mala sjui wengine chadema sjui ACT[emoji34] he is totally politics person kwa hivyo hqta akiachwa hapo kwenye hiyo nafasi atafanya kwa matakwa ya kisiasa na wanasiasa na sio matakwa ya wasanii wa muziki, ataongea kile wanasiasa wanataka kusikia ila sio kile wanamuziki wanataka, KIFUPI HAFAI HATA KIDOGO.

Pili, yeye sio msanii wa muziki wala hayuko kwenye category yoyote inayohusu mziki, hajawahi kua hata producer, mcheza dance wala kitu yoyote inayohusu mziki, hivyo hawezi kuongelea kitu asichokijua wala changamoto zake, atakua anafanya drama tu ambazo hazitakua ka impact, hivyo HAFAI HATA KIDOGO.

Tatu, amewahi kua msemaji wa viti vingi sana, ni wapi ashawahi kuleta positive impact? Only stupid person can choose him.....

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Wabunge wa Darasa la Sba ndiyo wanaofanya vizuri kuliko wewe msomi, usisahau ulipotoka, mshindi wa sita ndiyo unakuja kuliongoza Jimbo, hatutaki ubunge wa vimemo, hii ni awamu ya sita .... Automatic Hii ni personal attack aliyofanya Steve Mengere Kwa Hamis MwiniJuma, nadhani yeye alipashwa adeal na Kile alichokizungumza MwanaFA na Sio Jinsi ya MwanaFA alivyopatikana Kuwa Mbunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla Steve hajaongea nilidharau maneno ya mbunge aliongea kwa dharau na mamlaka alafu aliongea kama mtu ambaye hajasoma
Wasanii wanaompinga Steve hawajielewi na hawaelewi wanachotaka pia
 
Back
Top Bottom