Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

Steve alivyoona kapata audience na attention basi kachukua fursa ku act bongo movie kwa kutumia sauti ya Mwalimu Nyerere kwenye ile presser. Huyu jamaa ni mhuni tu inabidi apigwe stop.
 
🤣🤣🤣
 
Steve anasema: "...maoni hayakataliwi, ila usisahau maoni yanapokelewa". Sasa hapo kuna mantiki kweli?
 
Japo kaongea upuuzi ila kama kuna ukweli ndani yake vile
Kabisa, na kuna kitu kakisema kuhusu itikadi za wanaompinga........hebu tuangalie na humu anatukanwa zaidi na kina nani inaweza kuleta maana sana. Ukiweka chuki pembeni, ana kitu katika mazungumzo yake.
 
instagram.jpg
 
Kumbe CCM wenyewe kwa wenyewe wanajua wabunge wao walivopatikana kwa vimemo.
[emoji1787][emoji1787] kaamua kutoa siri za chama sijui wakimuita ajieleze kuhusu vimemo kama atakua na ushahidi.
 
hapa issue naona ni ccm kutaka kuwatumia wasanii kupitia shirikisho lao
 
Steve kazaaaa..washa moto
#Pua#Peleka kwa Bibi yako😀😀😀😀😀😀
 
Steve Hana shida yyt ..apewe muda kwenye cheo chake...Hawa wasanii Ni wanafiki hakuna mfano...kwani wataji tivu ake anachukua cheo wasanii hao kina Fa na wakazi ambao hawana hata hit songs mbili si hawakuwepo???

Coz hili shirikisho walikua wanalichukulia poa tuuu. ATA vikao walikua hawaji ata ..au wao walikua wanajiona masuperstar flani ivi Ila alipoteuliwa tuu walijitokeza ..

Yaani kifupi Ni ROHO MBAYA TUU. wampe muda
 
Back
Top Bottom