Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

Steve ndo mtu sahihi , yeye ni msemaji , Hana uteam , nyie ambao ni wataalam wa mziki kaeni mlete hoja kwenye shikisho na yeye Kwa connection aliyo nayo atalifikisha sehemu husika ....!! Tatizo wabongo tuna chuki za ajabu Sana na kudharauliana , Ila nimefurah alivyowanyea wenye vibri kama FA
 
Shida sio usahihi, tatizo Hana vigezo kikatiba kuwa msemaji wa shirikisho. Msemaji awe na diploma ya uandishi wa habari.
 
Ngoja tutaileta KAMATI YA KINYESI NA MIKOJO ije iangalie kwa makini suala hili chini ya FR0-PESA wetu....
 
Kumnyima Steve Nyerere Usemaji Kisa Ni Mchekeshaji Hii Hoja Haina Mashiko Mbona Rais wa Ukraine Alikua Mchekeshaji [emoji23][emoji23]
Ukranian President Zelenskyy, grew up as a native Russian speaker in Kryvyi Rih, a major city of Dnipropetrovsk Oblast in central Ukraine. Prior to his acting career, he obtained a degree in law from the Kyiv National Economic University. He then pursued comedy and created the production company Kvartal 95, which produced films, cartoons, and TV shows including the TV series Servant of the People, in which Zelenskyy played the role of the Ukrainian president.
 
kipipa anaongea utafikiri, Watu hawana plan B

hakuna ukomo kwenye kuunda shirikisho
 
Back
Top Bottom