Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Ki vipi ana point? Alipaswa atoe maelezo kuhusu Qualifications zake zilizompa USEMAJI.... interview nzima kafanya PERSONAL ATTACKS tuJamaa ana point kubwa tumsikilize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ki vipi ana point? Alipaswa atoe maelezo kuhusu Qualifications zake zilizompa USEMAJI.... interview nzima kafanya PERSONAL ATTACKS tuJamaa ana point kubwa tumsikilize
Mshindi wa sita kwa kigezo cha kuhonga wajumbe anaweza kuwa ndiye wa kwanza kwenye fair practice za kiuchaguzi. Mh Rais mwenyewe kakiri hadharani jana akipokea ripoti ya tume. Kwamba rushwa iko kwenye siasa na chaguzi Tanzania. Vimemo ni mfumo upo ambao hakuna awamu itaukwepa. Sitashangaa hata yeye Stefu nafasi ya usemaji alipata kwa kimemo. Nguvu inayotumika kumtetea pengine inadhihirisha hilo.
Kajitahidi kuongea sana huku akionesha hiyo pete yake ya ndoa kwamba ni family man. Ajue nguvu ya pete bila vyeti ni useless. Usemaji ni taaluma ya habari inayosomewa darasani, hivyo tu. Bongo fleva wanamtaka aoneshe vyeti vyake vya darasani si pete maana wao wanayo mpaka macheni ya mafuvu shingoni
Kumnyima Steve Nyerere Usemaji Kisa Ni Mchekeshaji Hii Hoja Haina Mashiko Mbona Rais wa Ukraine Alikua Mchekeshaji [emoji23][emoji23]
Sasa mbona huyu mbweha anachanganya siasa na muziki? Vijana wa nchi hii ni watu wa ovyo sana."Ukiangalia wale wote wanaonipinga mfano Nay wa Mitego ni Chadema, yule mwingine ni ACT, yule mwingine ni CUF unadhani watanikubali, sikutaka kuingiza uchama.
Kaisha pewa za uso huyo,fanya siasa kwanza hayo mengine waachie wenzio,kelele zake ndio zimemuibua tivu Ake.Wabunge wa Darasa la Sba ndiyo wanaofanya vizuri kuliko wewe msomi, usisahau ulipotoka, mshindi wa sita ndiyo unakuja kuliongoza Jimbo, hatutaki ubunge wa vimemo, hii ni awamu ya sita. Automatic Hii ni personal attack aliyofanya Steve Mengere Kwa Hamis MwiniJuma, nadhani yeye alipashwa adeal na Kile alichokizungumza MwanaFA na Sio Jinsi ya MwanaFA alivyopatikana Kuwa Mbunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, huyo Bwana alikuwa anaropoka tu! Tulimsikia Diamond akimpinga. Yeye sio Mwana CCM mwenzake? Huyo Mwana FA, ni Mbunge wa CHADEMA, au ACT au CUF?Kabisa, na kuna kitu kakisema kuhusu itikadi za wanaompinga........hebu tuangalie na humu anatukanwa zaidi na kina nani inaweza kuleta maana sana. Ukiweka chuki pembeni, ana kitu katika mazungumzo yake.
Mkuu, huyo Bwana alikuwa anaropoka tu! Tulimsikia Diamond akimpinga. Yeye sio Mwana CCM mwenzake? Huyo Mwana FA, ni Mbunge wa CHADEMA, au ACT au CUF?
Halafu, ukisikiliza anavyojimwambafai, ni kama vile, kwa nafasi hiyo, ni kama vile anakwenda kutatua matatizo waliyonayo. Eti, wangeniita, waniulize nina mipango gani, kana kwamba, kachaguliwa kuwa MWENYEKITI.
Kwa kifupi, yeye anafaa kuendelea KULAZIMISHA "KUJIFANYA" KUWA NA YEYE NI MCHEKESHAJI.
Mkuu, huyo Bwana alikuwa anaropoka tu! Tulimsikia Diamond akimpinga. Yeye sio Mwana CCM mwenzake? Huyo Mwana FA, ni Mbunge wa CHADEMA, au ACT au CUF?
Halafu, ukisikiliza anavyojimwambafai, ni kama vile, kwa nafasi hiyo, ni kama vile anakwenda kutatua matatizo waliyonayo. Eti, wangeniita, waniulize nina mipango gani, kana kwamba, kachaguliwa kuwa MWENYEKITI.
Kwa kifupi, yeye anafaa kuendelea KULAZIMISHA "KUJIFANYA" KUWA NA YEYE NI MCHEKESHAJI.
Haiwezi msumbua hata kidg kwani s inajulikana jins alivyo pita dhid ya add rajabu aliyeongoza ktk kura za maoniIle kauli Ni dhihaka,
FA Akiamua kuichukulia too personal, anahitaji ushahidi.
Hii kitu inaweza msumbua sana Steve.
Kajitete vzr San tivuu ake sijaona kosa kbsa mm Ni miemko tu wa kina wakazi na kina ney hao kukosa uelewa wa tivu ake kuwa msemajikajitetea.. kasema Ummy Mwl sio Daktari
Acha washambulie s ccm mwezake watamakizana ktk vikao vya chama ndani mleQ huwa namkubali sana,, ila kwenye hili bado ananifikirisha sana yeye kama katibu wa shirikisho alifikiria nini hasa....
Steve sio best candidate kwenye hio position,, na mfano hai ni jinsi alivo mshambulia mwana FA personal bila kujibu hoja
Umemkomalia[emoji28][emoji28][emoji28]atajutaIngawa kaleta mfno Kama CEO wa Simba ni mchezaji je kina ritha Paulsen ninwasanii
Kifupi alimjibu mwan fa vzr tu mbuge wa vimemo yule
Mpaka Atakapokata ROHOYaani ukimuangalia anavyoongea utadhani kuna jambo la muhimu sana kumbe jamaa anafurahisha umati tu.