Weka vitu vyenye viwango utawekwa hata kwenye interstellar voyages kama Chuck Berry, nini NYC tu hapa.Sawa mkuu, sasa usini bully tu mkuu, nikitoa hio ngoma Fanya kuipush basi hapo NYC mkuu america hata kwenye vi club viwili vitatu
Hapana mkuu simfahamu kakaWeka vitu vyenye viwango utawekwa hata kwenye interstellar voyages kama Chuck Berry, nini NYC tu hapa.
Unamjua Chuck Berry?
Ndiyo ujue hujui sasa unahitaji kukaa na kaka zako wakupe ramani.Hapana mkuu simfahamu kaka
Mkuu mambo ya free mason,Ndiyo ujue hujui sasa unahitaji kukaa na kaka zako wakupe ramani.
Tafuta historia yake huyo alifanya nini, alikutana na changamoto gani, alifanya makosa gani, alilipa gharama gani, aliwezaje kurudi kwa comeback mpaka akawekwa katika Golden Disc iliyopo katika chombo cha Voyager 1 ambacho kinaondoka katika mfumo wetu wa jua huu na kuelekea kwenye nyota nyingine.
Muziki wake usiishie dunia hii tu, kama kuna viumbe huko nje ya mfumo wetu wa jua na wao waoate kuusikia.
hahahahahahaha,humu khaaNauliza,kwasababu ulisema wewe ni unashida ya usikivu,,inakuwaje wakikuwekea bit ambalo si nzuri!?
Freemason hawana deal wamepitwa na wakati kila mtu anawajua.Mkuu mambo ya free mason,
🤣🤣🤣🤣,kweli mtu chake.hahahahahahaha,humu khaa
Kwani una mvi?Ndiyo, ila ni dogo kwangu
msaidie🤣🤣🤣🤣,kweli mtu chake.
Kaka we huna Imani na mungu NAPATA mashaka sana pigo zako zinaweza kua zile za kimizimu,Freemason hawana deal wamepitwa na wakati kila mtu anawajua.
Rosicrucian.
Kusikia au kusikiliza melody😁msaidie
Kaka nipo kibiashara kaka, nafata soko linataka nini kaka nipate vi showUmeimba vitu vya maana au yaleyale tu
Mvu tu, naweza kukuzaa kabisaKwani una mvi?
Dogo hujanielewa, pata somo la bure.Kaka we huna Imani na mungu NAPATA mashaka sana pigo zako zinaweza kua zile za kimizimu,
Wabongo wa kuwaimbia vitu vya maana?😁Umeimba vitu vya maana au yaleyale tu
Tema mate chini! Miaka yako toa 26Mvu tu, naweza kukuzaa kabisa
Sawa kaka tupush mziki uende kaka💪💪Dogo hujanielewa, pata somo la bure.
Mimi si tu sina imani na Mungu, mimi sina imani na supernatural power yoyote. Unaelewa supernatural power ni nini? Basi mimi sina imani na supernatural power yoyote.
Maana yake si Mungu tu.
Siamini Mungu, Malaika, Shetani, majini, mizimu, maruhani, uchawi.
Kwa hiyo, unaweza kukuta mtu anayeamini Mungu yupo karibu na imani za mizimu kuliko mimi.
Mimi nimenyoosha hivyo.
Kuna wengi tu mtaani wameimba kuhusu uzalendo hata show ya uchochoroni hawanaWabongo wa kuwaimbia vitu vya maana?😁
Mbona utasikiliza mwenyewe.