Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

Utacheka na nafsi yako
 
Mm binafsi niliwaza Kam wee tu
 
Kwa taarifa zilizopo sasa ni kwamba,

Hakimi hamiliki chochote na bibie Kiba ana mali kuliko Hakimi. Hivyo, anatakiwa kulipa gharama zote za mahakama na mali aliyo nayo agawane na Hakimi 50/50
 
Mimarioo ya kibongo nayo inazungumza na kushabikia alichokifanya Hakimi jamani?

Nimeona hata insta kwa Hakimi, imejaa huko eti inamsifia, mengine yanaandika kiswahili kabisa! Ovyoo sana
Chugu lakini dawa.
 
Wazazi huwa wanatujua zaidi ya tunavyojijua. Shida tukiota ndevu tunakua wajuaji. Anavyokujua mtu mliyekutana mmeota meno haiwezi kuwa sawa na akujuavyo mzazi wako
 
Mbona mali za huyo mwanamke alizo pata kipindi cha ndoa hazijumuishiwi kwenye mgawanyo wa mali?

Huyo dada ni tapeli kama matapeli wengine.
Mwambie binti yako akienda kuolewa aolewe kwa ajili ya kujenga familia na sio kwenda kufanya utapeli dhidi ya mtoto wa watu.
 
Umeshinda, nimekupa na like.
 
Umesahau pia kuwa huyo mkewe nae ana kampuni zake zinazalisha sio kwamba alikuwa mweupe pee. Kingine kama kulikuwa na makubaliano ya Kisheria Kati ya mama na mtoto tangu cku ya kwanza kazin b4 hajaoa. kwamba hela yoyote nitakayopata maishan mwangu zitakuwa zako itakuwaje?
 
Kumbe wanaume wenye akili humu ndani bado mpo!!
👏👏👏👏👏👏
Hahahah kwenye kunyimwa hela mwenzenu hapo mapovu yanawatoka si mchezo, mbona bi dada yeye hela zake hazigawiki anataka za hakimi tu
 
Huyu
Labda upinde
 
🤣🤣 mlivyo na roho mbaya sasa. Msikilize muhuni mwenzako hapo. Which gender doesn't contribute to society🤣🤣🤣 but you feel entitled to praises and wealth. Selfish confused gender.
 

Attachments

  • fddf49d6e824379737532c6495ad4416.mp4
    4.4 MB
Mbona simple tu ingekuwa mimi naonyesha mkataba tuliosaini na mama yangu kuwa kutokana na deni la Dola billion 1 analonidai asilimia kadhaa za pesa ninazoingiza nitakuwa namuingizia yeye kufidia deni lake ikiwa pamoja na yeye kushikilia mali zangu,hadi hapo bado watamkaba kooni?
 
Kwani nitakwa la kisheria kuonesha kipato changu kinapoishia au kinavyotumika au kinapoenda kisa tu Mimi Ni mwajiriwa?Ni Sheria za nchi gani hizo??hii nayo Ni reasoning umefanya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…