Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Utacheka na nafsi yako
 
Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.

Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko.

Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo basi chini ya jina lolote ambapo hela na mali zake zinaenda kuhifadhiwa inakuwa ni salama kwa masuala mengine ya kisheria lakini si kwa mke wake.

Kesi itakayofuata, Hakimi anaweza akahitajika kutoa maelezo ni wapi ambapo pesa na mali alizozipata kutokana na kazi yake amekuwa akizipeleka, maana pesa ile ni mali halali ya familia yake, inakuwaje familia ijikute haina umiliki wa kitu chochote kile?

Vyovyote itakavyokuwa, kesi itakayofuata itamuweka Hakimi mahala pabaya zaidi. Mama yake atahitajika kuelezea chanzo cha mapato cha pesa na mali zilizo chini ya jina lake.

Hii kesi ya kwanza imeishia hapo na ndiyo ina-trend kwa sasa, ila kesi ya pili nabashiri itakuwa mbaya zaidi na huenda Hakimi akajikuta mahala pagumu kuliko Emmanuel Eboue.
Mm binafsi niliwaza Kam wee tu
 
Kwa taarifa zilizopo sasa ni kwamba,

Hakimi hamiliki chochote na bibie Kiba ana mali kuliko Hakimi. Hivyo, anatakiwa kulipa gharama zote za mahakama na mali aliyo nayo agawane na Hakimi 50/50
 
Mimarioo ya kibongo nayo inazungumza na kushabikia alichokifanya Hakimi jamani?

Nimeona hata insta kwa Hakimi, imejaa huko eti inamsifia, mengine yanaandika kiswahili kabisa! Ovyoo sana
Chugu lakini dawa.
 
Kweli kabisa mkuu. Jamaa yangu ilishamkuta hiyo na mzazi wake alipiga stop aliposikia mwanae ana mahusiano na binti fulani akaamua kufanya udadisi na kilichofuata ni kumwambia kijanawe apige chini huyo mwanamke ingawa jama alikuwa akimsomesha demu,anakaa naye geto na hapo alishaanza kuhudumia familia yake kwa kiasi cha juu.hakika jamaa hajawahi kujuta zaidi ya kushukuru hilo na kumuoa mtu mwingine ambapo ni full amani tu zaidi ya miaka 5 sasa.
Wazazi huwa wanatujua zaidi ya tunavyojijua. Shida tukiota ndevu tunakua wajuaji. Anavyokujua mtu mliyekutana mmeota meno haiwezi kuwa sawa na akujuavyo mzazi wako
 
Umeandika kama mtu mwenye akili timamu, nashawika kuamini kua unayo.

Sikufundishi ila akili timamu usipoichannel sawasawa hutakua na tofauti na mwehu alievalia suti na kupendeza. Sijasema wewe ni mwehu, wala sijasema umechannel akili yako vibaya.

Ila umechukua swala moja tu la mimi kua na mtoto wakike umeliweka hapo linashindana na mtazamo wako juu ya divorce ya couple ambayo naamimi unafahamu a tiny fraction of it's life, pengine umeisikia ilipotangazwa kushinda kesi. Kupitia hicho kipande kidogo cha maisha yao ya talaka uliyoyafahamu tayari umeshamuona dada wa watu tapeli, mdhulumati na mwenye tabia ya kipumbavu, kweli..!!?

Ivi ni kweli we unaamini unaakili kushinda wanasheria wake waliofile kesi mahakamani, kwamba unaamini wamedai mgawanyo wa mali zote za huyo kijana? Unadhani sheria ingewaruhu kufungua kesi kwa kudai mgawanyo wa mali zote?
Mali zinazodaiwa kwenye talaka ni mali zilizochumwa kipindi cha matrimony. Wanasheria wanalijua hilo, you should too.

Hatahivyo mimi sina upande kwenye hili. Ila pia sina upumbavu wa kumlipukia binti wa watu kua tapeli, gold digger, au kwamba aliolewa kwa tamaa. Ninachokijua ni kwamba sijui undani wa mahusiano yao ila sheria za talaka zinasema mkitalakiana, mali zote zilizopatikana kipindi cha ndoa ni halali ya wote. Kujua kwangu kumeishia hapo.

Nyinyi mnaojua kua huyo dada ni tapeli, mpumbavu, alikodolea mali from the beginning, mnayo ruksa kuendelea, mimi sina ninachojua zaidi ya niliyoandika.
Mbona mali za huyo mwanamke alizo pata kipindi cha ndoa hazijumuishiwi kwenye mgawanyo wa mali?

Huyo dada ni tapeli kama matapeli wengine.
Mwambie binti yako akienda kuolewa aolewe kwa ajili ya kujenga familia na sio kwenda kufanya utapeli dhidi ya mtoto wa watu.
 
Umeshinda, nimekupa na like.
 
Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.

Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko.

Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo basi chini ya jina lolote ambapo hela na mali zake zinaenda kuhifadhiwa inakuwa ni salama kwa masuala mengine ya kisheria lakini si kwa mke wake.

Kesi itakayofuata, Hakimi anaweza akahitajika kutoa maelezo ni wapi ambapo pesa na mali alizozipata kutokana na kazi yake amekuwa akizipeleka, maana pesa ile ni mali halali ya familia yake, inakuwaje familia ijikute haina umiliki wa kitu chochote kile?

Vyovyote itakavyokuwa, kesi itakayofuata itamuweka Hakimi mahala pabaya zaidi. Mama yake atahitajika kuelezea chanzo cha mapato cha pesa na mali zilizo chini ya jina lake.

Hii kesi ya kwanza imeishia hapo na ndiyo ina-trend kwa sasa, ila kesi ya pili nabashiri itakuwa mbaya zaidi na huenda Hakimi akajikuta mahala pagumu kuliko Emmanuel Eboue.
Umesahau pia kuwa huyo mkewe nae ana kampuni zake zinazalisha sio kwamba alikuwa mweupe pee. Kingine kama kulikuwa na makubaliano ya Kisheria Kati ya mama na mtoto tangu cku ya kwanza kazin b4 hajaoa. kwamba hela yoyote nitakayopata maishan mwangu zitakuwa zako itakuwaje?
 
Kumbe wanaume wenye akili humu ndani bado mpo!!
👏👏👏👏👏👏
Hahahah kwenye kunyimwa hela mwenzenu hapo mapovu yanawatoka si mchezo, mbona bi dada yeye hela zake hazigawiki anataka za hakimi tu
 
Huyu
Hapo ndio mwisho wa brain yako kufikiri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pole sana we have a long way to go

Eti uchochoroni😞

Have you forced him to marry her?

Yeah, every person defending this has not even a brain cell to think logically like you 🤔🤔🤔🤔that this absolutely won’t fly in court.
Labda upinde
 
Seriously u don’t even know the contribution of women in level of development? In marriage level? Family level? Community level? Global level? And you’re here arguing with me? Seriously?😞😞😞

Sikupaswa ata kukujibu☹️☹️☹️But for the benefit of all who knows nothing like you..You have to understand that 👇

General Women including your own (Mother🥰My Mother🥰and all Mother’s out there).

They take the lead in helping the family adjust to new realities and challenges.. They are likely to be the prime initiator of outside assistance.

And play an important role in facilitating (or hindering) changes starting in family level..community level and global
🤣🤣 mlivyo na roho mbaya sasa. Msikilize muhuni mwenzako hapo. Which gender doesn't contribute to society🤣🤣🤣 but you feel entitled to praises and wealth. Selfish confused gender.
 
Attachments

  • fddf49d6e824379737532c6495ad4416.mp4
    4.4 MB
Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.

Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko.

Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo basi chini ya jina lolote ambapo hela na mali zake zinaenda kuhifadhiwa inakuwa ni salama kwa masuala mengine ya kisheria lakini si kwa mke wake.

Kesi itakayofuata, Hakimi anaweza akahitajika kutoa maelezo ni wapi ambapo pesa na mali alizozipata kutokana na kazi yake amekuwa akizipeleka, maana pesa ile ni mali halali ya familia yake, inakuwaje familia ijikute haina umiliki wa kitu chochote kile?

Vyovyote itakavyokuwa, kesi itakayofuata itamuweka Hakimi mahala pabaya zaidi. Mama yake atahitajika kuelezea chanzo cha mapato cha pesa na mali zilizo chini ya jina lake.

Hii kesi ya kwanza imeishia hapo na ndiyo ina-trend kwa sasa, ila kesi ya pili nabashiri itakuwa mbaya zaidi na huenda Hakimi akajikuta mahala pagumu kuliko Emmanuel Eboue.
Mbona simple tu ingekuwa mimi naonyesha mkataba tuliosaini na mama yangu kuwa kutokana na deni la Dola billion 1 analonidai asilimia kadhaa za pesa ninazoingiza nitakuwa namuingizia yeye kufidia deni lake ikiwa pamoja na yeye kushikilia mali zangu,hadi hapo bado watamkaba kooni?
 
Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.

Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko.

Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo basi chini ya jina lolote ambapo hela na mali zake zinaenda kuhifadhiwa inakuwa ni salama kwa masuala mengine ya kisheria lakini si kwa mke wake.

Kesi itakayofuata, Hakimi anaweza akahitajika kutoa maelezo ni wapi ambapo pesa na mali alizozipata kutokana na kazi yake amekuwa akizipeleka, maana pesa ile ni mali halali ya familia yake, inakuwaje familia ijikute haina umiliki wa kitu chochote kile?

Vyovyote itakavyokuwa, kesi itakayofuata itamuweka Hakimi mahala pabaya zaidi. Mama yake atahitajika kuelezea chanzo cha mapato cha pesa na mali zilizo chini ya jina lake.

Hii kesi ya kwanza imeishia hapo na ndiyo ina-trend kwa sasa, ila kesi ya pili nabashiri itakuwa mbaya zaidi na huenda Hakimi akajikuta mahala pagumu kuliko Emmanuel Eboue.
Kwani nitakwa la kisheria kuonesha kipato changu kinapoishia au kinavyotumika au kinapoenda kisa tu Mimi Ni mwajiriwa?Ni Sheria za nchi gani hizo??hii nayo Ni reasoning umefanya??
 
Back
Top Bottom