Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

[emoji1830][emoji1830][emoji1830][emoji1830][emoji1830][emoji1830][emoji1830][emoji1830][emoji1830][emoji1830][emoji1830][emoji1830][emoji1830][emoji1830]

[emoji3539][emoji3539] [emoji3539][emoji3539][emoji3539][emoji3539][emoji3539][emoji3539][emoji3539][emoji3539][emoji3539][emoji3539][emoji3539][emoji3539]

[emoji411][emoji411][emoji411][emoji411][emoji411][emoji411][emoji411][emoji411][emoji411][emoji411][emoji411][emoji411][emoji411][emoji411]

This is not right at all.. Yes, things may have happened that leads them to divorce. But she is a human being, who sacrificed 2years of her life with Hakimi. She gave him something everyone human being needs, companionship. She deserves to leave with something.

Not even 50/50 even 25/50
Ndugu mwansheria, unaonaje uwe mwanasheria wa bi dada mkate rufaa
 
Hakuna huo upumbafu wa eti mali ya familia. Bibie una akili kweli wewe. Hakimi works, he takes care of the family. Mwisho hapo. Where the rest goes sio biashara ya mkewe wala ng’ombe yoyote wa aina yako. He can choose to give hela zake to anyone he wants. And once he does that haziwezi kugawanywa during divorce settlements. Mbona mnakuwa wapumbavu sana nyinyi mangumbaru?
Ngoja nikuulize kistaarabu tu, hivi unadhani wale ambao mali zao hugawanywa ni sababu wao hawakuwa wakifanya kazi?
 
Bora usijibu ukae hivyo hvyo huna ujualo na next of kin kajiandika yeye hakimi kwenye Mali zote alizompa mama yako hivi sheria ni rahisi hvyo.
Hongera kwako Ms/Mr know all
 
Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.

Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko.

Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo basi chini ya jina lolote ambapo hela na mali zake zinaenda kuhifadhiwa inakuwa ni salama kwa masuala mengine ya kisheria lakini si kwa mke wake.

Kesi itakayofuata, Hakimi anaweza akahitajika kutoa maelezo ni wapi ambapo pesa na mali alizozipata kutokana na kazi yake amekuwa akizipeleka, maana pesa ile ni mali halali ya familia yake, inakuwaje familia ijikute haina umiliki wa kitu chochote kile?

Vyovyote itakavyokuwa, kesi itakayofuata itamuweka Hakimi mahala pabaya zaidi. Mama yake atahitajika kuelezea chanzo cha mapato cha pesa na mali zilizo chini ya jina lake.

Hii kesi ya kwanza imeishia hapo na ndiyo ina-trend kwa sasa, ila kesi ya pili nabashiri itakuwa mbaya zaidi na huenda Hakimi akajikuta mahala pagumu kuliko Emmanuel Eboue.
Ukizoea mahakama za kisutu unakuwa n'a shida sana .kama ni hivo wanaume wanautumia mishahRa kulewa wakiachana itapigwa hesabu ya bia kugawana .utoto acha
 
Pretty sure this won’t fly in court - the income and earnings are still his..he’s just been transferring them away.. like an off-shore account.

Probably her wife will get her share..Period
Mkuu naona umeumia sana. Humu utaendelea kujeruhiwa zaidi. Na hicho kinge chako nadhan utakua mwanasheria wewe. Chukua ushauri wangu mkuu. Mtafute bibie uwe wakili wake mmwangushe Goliath. Haiwezekani huyu Morocco achezee akili za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1.Navyoona mamlaka za ufaransa zita chunguza ulipaji kodi wake tuu maana yeye ni muajiriwa and analipwa mshahara ,

Cc. case ya samweli etto v. Spain authorities (hii ipo mtandaoni ,google )
Hata ya neymar


2.Validit of working permit ya hakimi....
Hakim kazaliwa spain
 
Kama angekuwa mlevi na muhongaji, bado wangezifuata hizo mali huko?

Hoja nyepesi hiyo, Ashraf hana mali ya kugawana, kapiga kiberiti, full stop!
 
Ukizoea mahakama za kisutu unakuwa n'a shida sana .kama ni hivo wanaume wanautumia mishahRa kulewa wakiachana itapigwa hesabu ya bia kugawana .utoto acha
Tatizo badala ya kuelewa kilichoandikwa wewe umeelewa unavyotaka.
Sina comment
 
Tatizo badala ya kuelewa kilichoandikwa wewe umeelewa unavyotaka.
Sina comment
Mama alikuwa anapewa hela n'a mwanae .kwa hiyo mkiachana unapaswa nyumba ulompa baba yako mgawane .saiz kesi ni vyote Alivochukua demu wanapaswa wagawane
 
Mama alikuwa anapewa hela n'a mwanae .kwa hiyo mkiachana unapaswa nyumba ulompa baba yako mgawane .saiz kesi ni vyote Alivochukua demu wanapaswa wagawane
Angalau sasa naweza nika comment kwa jinsi ulivyouliza.
Tatizo siyo nitakacho mimi, issue ipo kwenye sheria zao. Kwa kesi hii ya kwanza Hakim ameshinda na ilikua ni lazima ashinde, maana hana anachomiliki na kesi ililenga anachomiliki.
Kesi ya pili inaweza ikalenga kutafuta alipopeleka kipato cha familia, ilikuwaje kilienda huko bila ya makubaliano ya wanafamilia.
 
Kikubwa angefungua madai ya talaka na swala la child support lingeisha .
Kwa nini aende kudai half of the wealth kama sio gold digger?
Kanye west kaachana na kim kadarshian kwa talaka kabisa, je umesikia kim akidai half of Ye's wealth?

Na kama anajiweza na angekuwa smart upstairs basi hili swala lilikuwa linaishia kwa wanasheria wao wenyewe tuu halafu makaratasi yanapelekwa mahakamani kwa ajili ya formality.
Kweli hawa watu hawafai, Kim ana utajiri wa zaid ya dola bilion 1 kibongo bongo ni trionea.. hajadai kugawana mali kwasababu na yeye ana mali ila angekuwa hana utajiri huo Kanye angekomeshwa
 
Ngoja wazee wa kuheshimishwa waje tuone wana mpya gani.

Mana kwenye hii issue Me walio wengi wanasema Hakimi kawaheshimisha.
Tena sana tuu maana dah wanawake nyie washenzi kweli kweli
 
Back
Top Bottom