Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

Ndugu mwansheria, unaonaje uwe mwanasheria wa bi dada mkate rufaa
 
Ngoja nikuulize kistaarabu tu, hivi unadhani wale ambao mali zao hugawanywa ni sababu wao hawakuwa wakifanya kazi?
 
Bora usijibu ukae hivyo hvyo huna ujualo na next of kin kajiandika yeye hakimi kwenye Mali zote alizompa mama yako hivi sheria ni rahisi hvyo.
Hongera kwako Ms/Mr know all
 
Ukizoea mahakama za kisutu unakuwa n'a shida sana .kama ni hivo wanaume wanautumia mishahRa kulewa wakiachana itapigwa hesabu ya bia kugawana .utoto acha
 
Pretty sure this won’t fly in court - the income and earnings are still his..he’s just been transferring them away.. like an off-shore account.

Probably her wife will get her share..Period
Mkuu naona umeumia sana. Humu utaendelea kujeruhiwa zaidi. Na hicho kinge chako nadhan utakua mwanasheria wewe. Chukua ushauri wangu mkuu. Mtafute bibie uwe wakili wake mmwangushe Goliath. Haiwezekani huyu Morocco achezee akili za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakim kazaliwa spain
 
Kama angekuwa mlevi na muhongaji, bado wangezifuata hizo mali huko?

Hoja nyepesi hiyo, Ashraf hana mali ya kugawana, kapiga kiberiti, full stop!
 
Ukizoea mahakama za kisutu unakuwa n'a shida sana .kama ni hivo wanaume wanautumia mishahRa kulewa wakiachana itapigwa hesabu ya bia kugawana .utoto acha
Tatizo badala ya kuelewa kilichoandikwa wewe umeelewa unavyotaka.
Sina comment
 
Tatizo badala ya kuelewa kilichoandikwa wewe umeelewa unavyotaka.
Sina comment
Mama alikuwa anapewa hela n'a mwanae .kwa hiyo mkiachana unapaswa nyumba ulompa baba yako mgawane .saiz kesi ni vyote Alivochukua demu wanapaswa wagawane
 
Mama alikuwa anapewa hela n'a mwanae .kwa hiyo mkiachana unapaswa nyumba ulompa baba yako mgawane .saiz kesi ni vyote Alivochukua demu wanapaswa wagawane
Angalau sasa naweza nika comment kwa jinsi ulivyouliza.
Tatizo siyo nitakacho mimi, issue ipo kwenye sheria zao. Kwa kesi hii ya kwanza Hakim ameshinda na ilikua ni lazima ashinde, maana hana anachomiliki na kesi ililenga anachomiliki.
Kesi ya pili inaweza ikalenga kutafuta alipopeleka kipato cha familia, ilikuwaje kilienda huko bila ya makubaliano ya wanafamilia.
 
Kweli hawa watu hawafai, Kim ana utajiri wa zaid ya dola bilion 1 kibongo bongo ni trionea.. hajadai kugawana mali kwasababu na yeye ana mali ila angekuwa hana utajiri huo Kanye angekomeshwa
 
Ngoja wazee wa kuheshimishwa waje tuone wana mpya gani.

Mana kwenye hii issue Me walio wengi wanasema Hakimi kawaheshimisha.
Tena sana tuu maana dah wanawake nyie washenzi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…