Suala la ajira ni suala la collective responsibility kati ya Public na Private sector.
Bahati mbaya watu wengi hasa Wizara ya Kazi nadhani, narudia tena nadhani hawana IQ ya kimkakati ya namna ya kuzalisha kazi kupitia uwekezaji unaofanywa either na public au private sector.
Tatizo la ajira limeanza wakati wa Mzee Mwinyi, then wakati wa Mkapa likapungua then likaongezeka wakati Mkapa hajatoka, JK gave a try with no success na JPM kakuta masalia ya miaka mingi.
Kuna wakati nimewahi kuto ushauri kupitia vyanzo mbalimbali ikiwemo JF kuwa, akipatikana mtu ana wazo/project/investment ni vema public ikakaa nae ili kuona namna gani huyo solution provider anafanikisha uwekezaji wake.
Kwani inatakiwa ifahamike
18% ya sales za huduma au bidhaa goes to the government
18% ya procurement goes to the government
30% ya corporate tax goes to the government,
Paye toka deductions ya mishahara goes to the government
20% ya makato ya muajiri na muajiriwa goes in pensions funds.
Tukizingatia haya tunatakiwa kujua vita ya kuzalisha ajira ni vita kama vita zingine. Written policies, laws and procedures won't solve.
Only right strategic plans makes it happen. Mabeberu toka Berlin Conference mpaka sasa huwa wanatugeuza huku na kule via right strategy.
Sheria kwao sio issue sana. Siku sheria zinawekwa huwa wanakuwa washanyonya na kukwiba kweli kweli.
Unless we sit together with decision makers to solve unemployment problem/challenge collectively.
Usiku mwema wanabodi
Sent using
Jamii Forums mobile app