Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Umeandika usichokijua.. umekalilishwa.. hivi wote tuikijitegemea kwenye vilimo humo maofisini atakaa nani..
 
Elimu elimu elimu(mitala mipya inahtajika nakufanya gharama yake nindogo tu T 1,ila wanasiasa wakisikia hiyogharama watakugomea
 
Elimu elimu elimu(mitala mipya inahtajika nakufanya gharama yake nindogo tu T 1,ila wanasiasa wakisikia hiyogharama watakugomea
Tatizo ajira kutoka sekta binafsi wanategemea watu walioenda veta tu, wale walioenda vyuo vikuu wamekalilishwa kuajiliwa serikalini. Na ajira zenyewe ni za kuchagua, uliona walimu wenye digree wakikataa kufundi primary, wenye PHD wakigomea kufundisha form 5-6, Sikh hizi hata wazungu wamekuwa wajanja, wengi wanatoa vijana veta, vyuo wanaviogopa vijana wengi wa vyuoni wanapenda mishahara mikubwa
 
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
unakijua kilimo au umeamua kubwabwaja!!?..kilimo kinahitaji pesa
 
Tatizo ajira kutoka sekta binafsi wanategemea watu walioenda veta tu, wale walioenda vyuo vikuu wamekalilishwa kuajiliwa serikalini. Na ajira zenyewe ni za kuchagua, uliona walimu wenye digree wakikataa kufundi primary, wenye PHD wakigomea kufundisha form 5-6, Sikh hizi hata wazungu wamekuwa wajanja, wengi wanatoa vijana veta, vyuo wanaviogopa vijana wengi wa vyuoni wanapenda mishahara mikubwa
mnaukataa ukweli,mbona tangu 2007 rais na makamu wake kipindi hicho walitamka wazi kwamba ajira hakuna na vijana wafikirie kujiajiri!!..wewe vyombo vyako vya kiintelijensia vimekwambia zipo?
 
Vyuo vya kilimo vinatoa wahitimu wangapi kila mwaka? Utaanza kulima matikiti wakati hujui yanapandwaje yanapaliliwa vipi? Hao waliotapeliwa 1.5bn za korosho unadhani niwazee wote? Hujawahi sikia katazo la kuuza chakula? Hukumsikia yule baniani alilalamika kwa JPM kafunga kiwanda Cha alizeti kisa manyanyaso ya Serikali? Hebu tumia na kichwa Cha juu kufikiri angalau siku mojamoja.
Usitumie kosa moja dogo kutafuta uhalali wa wewe kubweteka tu na kuacha fursa adhimu ya kilimo. Watanzania kibao bado wako kwenye kilimo.
 
Huu ukweli mchungu wale wapinga maendeleo wanaotumika na Mabeberu watakushambulia sana, hawapendi ukweli
Mm ninawaeleza na nitaendelea kuwaeleza kwamba Tanzania hakuna tatizo la ajira mpk watakaponielewa. Ardhi yenye rutuba isiyohitaji mbolea imejaa tele. Waache kulialia.
 
Sasa mkuu bila kujamiiana utasoma vipi?? Watu Wana tumia Neno kujamiiana kama kufanya ngono pekee I hapana kujamiiana ni wew kunganika na watu wengine katika jamii na mkashiriki katika mawazo na maarifa huko ndio kujamiiana Sasa ni Lazima watu wajamiiane yaani waingiliane

Neno kujamiiana lisitumike katika uwanja WA mapenz pekee Bali linatumiaka katika seem zingine
Kujamiiana= kufanya ngono
Kujamiishana = kuhusiana ktk jamii
 
Ajira ni tatizo la ulimwengu mzima na haliwezi kupatiwa ufumbuzi na serikali tu bila kuhusisha sekta binafsi.
In kweli mkuu. Kwanza kwa hapa nchini Tanzania hakuna hili tatizo la ajira. Ardhi yenye rutuba imejaa tele.
 
Halafu na wewe ni baba mwenye familia yako kabisa kama unashindwa kufikiria tu kwenye uchangiaji wa hoja kama hizi???? SHAME!!!
Na wewe usikute una vyeti unajiita msomi...!! Hivi unaanzaje kusema Tanzania kuna tatizo la ajira?? Acha waseme ambao hakuna hata kipande kidogo cha ardhi. Sisi tumepewa neema ya ardhi kubwa iliyojaa rutuba. Halafu anatokea mwendawazimu fulani kisa tu alikanyaga madarani anaanza kusema kuna tatizo la ajira. Ebo!
 
Umeandika usichokijua.. umekalilishwa.. hivi wote tuikijitegemea kwenye vilimo humo maofisini atakaa nani..
Kwa sasa maofisini kumejaa. Kwenye kilimo kuna nafasi tele isiyohitaji interview ili MTU kuingia huko. Kinachohitajika ni utayari wako tu. Sasa tatizo la ajira liko wapi? Tukisema mlikuwa vyuoni kufanya ngono tu tunakosea?
 
unakijua kilimo au umeamua kubwabwaja!!?..kilimo kinahitaji pesa
Anza kutumia mtaji wa elimu yako na nguvu zako wewe. Bibi na babu yako mpk Leo hawajawahi hata siku moja kukopa benki lkn mpk wamezeeka wanategemea kilimo. Wewe umewazidi kwa maarifa uliyoyapata shule. Onesha tofauti sasa. Ukishindwa ujue ulienda shule kujamiiana tu
 
Anza kutumia mtaji wa elimu yako na nguvu zako wewe. Bibi na babu yako mpk Leo hawajawahi hata siku moja kukopa benki lkn mpk wamezeeka wanategemea kilimo. Wewe umewazidi kwa maarifa uliyoyapata shule. Onesha tofauti sasa. Ukishindwa ujue ulienda shule kujamiiaazuna tu
Sexless unapenda kujamiana sana. Naona umejikita huko. Mpaka sasa utakuwa unazaa kama paka kiss una ardhi ya kutosha, kila mkoa una aina yake ya ardhi, kuna mikoa mingine lazima utumie nguvu ya pesa kupata matokeo mazuri, sasa kilimo cha mkono na utegemezi wa mvua hicho sio kilimo maanaa kinategemea nyakati. Ili ufanikiwe unatakiwa kilimo cha umwagiliaji ova
 
kila mkoa una aina yake ya ardhi, kuna mikoa mingine lazima utumie nguvu ya pesa kupata matokeo mazuri,
Katiba yetu imetoa ruksa kwa kila mtanzania kuishi popote. Hamia mkoa ama eneo linalokupa unafuu wa gharama za kufanya kilimo
 
Back
Top Bottom