Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

Mkuuu huyo kakunyamazia mm naweza kukutukana hata.

Unafikili kufanya kaz bila mtaji unaweza kujikwamua?????
Ni ngumu sanaaa hata ukibadili kaz ya kufanya inahitaji support ya mtu fulani.

Sasa kama mtaji hakuna unafanyaje?

Au unataka kusema auze karanga? Kwa mtaji wa buku 5 anaweza kujikwamua?
Wewe ndio hufundishiki.... usiyeweza kujiongeza. Tuliza ubongo wako usubiri kuajiriwa eeeee ndio unalotaka kuambiwa!!! Usiyetaka kubadilika... bakia na hilo lililojaa ubongoni mwako. Aliyenituma kaniambia eti umedumaa akili.... ebooooo acha kukariri maisha weweeeeeee!
 
Mtu anapokwenda kusomea digrii ya udaktari, ameamua kufuatana na uwezo wake aliojaliwa kuwa hiyo ndio kazi atakayoifanya, iwe kwa kuajiriwa au kwa kujiajiri.

Wewe hujui taratibu zilizopo katika aina hii ya kazi. Hakuna njia yoyote mtu huyu anayoweza kujiajiri mara tu baada ya kuhitimu katika masomo ya kazi hiyo. Itamlazimu apate ajira, iwe kwenye sekta binafsi au serikalini kwanza ili atimize matakwa ya kuwa na uzoefu wa kujiajiri mwenyewe; na pengine hata kupata mtaji.

Kwa hiyo huwezi kuondoa jukumu kwa serikali katika kumsaidia huyu mtaalam ili aweze kuendelea katika nyanja yake aliyosomea.

Na hapa ninaposema serikali kuwa na wajibu, sina maana moja tu ya kumpatia ajira. Serikali inazo njia mbalimbali za kuwezesha.

Mathalani: Serikali inaweza kuweka tu sera zinazoweza kutumika ili kada ya hawa watu isiongezeke bila mpangilio. Ni serikali hiyo hiyo inao uwezo wa kuwawezesha waliopo kwenye sekta binafsi katika nyanja hizi wawe na uwezo zaidi wa kuwahudumia waTanzania kwenye sehemu hii ya taaluma, hawa wakiwepo wa kutosha, watatoa ajira kwa hao wapya wanaoingia kabla na wao hawajafanya mipango ya kujiajiri.

Tanzania bado tupo chini sana katika uwiano wa Daktari na wagonjwa anaowahudumia. Kwa hiyo uhitaji wa wataalamu hawa bado upo mkubwa sana. Kuwaacha wakazagae mitaani ni kukosa mipango mizuri ya kuwatumia.

Wewe kwa kutojua unachokizungumzia unataka hawa watu wakajiajiri, hata kama ni kwenda kuchuuza mayai mitaani. Naomba unipe mfano mmoja popote duniani ulipowahi kuona hayo!

Majoto, sina lazima ya kubishana na wewe. Nimekuelewa tokea kwenye mchango wako wa mwanzo ulivyokuja na 'joto'.
Mkuu asikuchoshe huyo jamaa mbishi ni kichwa panzi tu.

Cha muhimu kupambana na kila jambo kifamilia kila mtu aishi kulingana na mazingira yake.
Maana viongoz wetu ndio hao wapumbavu.
 
Wana jamvi salaam!.

Naomba nilonge kidogo kuhusiana na vijana wetu wasomi tunaowategemea katika nyanja mbali mbali za utoaji huduma za kitabibu, elimu, uhasibu, uhandisi n.k

Nimekuwa na desturi ya kubadilishana mawazo na watu wa rika zote huku kundi kubwa likiwa ni hawa vijana wenzangu. Asilimia kubwa ya hawa vijana ninaokutana nao ni wasomi wa fani tofauti tofauti ambazo zinafundishwa ama kutolewa hapa nchini na wengi wao ni degree holders.

Kimsingi hawa vijana wanatia huruma mpaka basi ukizingatia wamesoma lakini hawana cha kufanya mtaani baada ya kukosa ajira either kutoka serikalini ama sekta binafsi kwa kifupi wamebaki kama vifaranga vilivyoondekewa na mama yao.

Hili suala katika hali ya kawaida unaweza kudhani ni dogo pengine ndiyo maana sioni jitihada zozote zikichukuliwa kuwanusuru hawa vijana. Lakini tukumbuke kadri siku zinavyoenda na intake zao kuongezeka mtaani ndipo hili tatizo linazidi kuota mizizi na kuwa sugu siku hadi siku na mwishowe linaweza kugeuka bomu tutakaloshindwa kulitegua kwa siku za usoni.

Swali la msingi ambalo sote tunapaswa kujiuliza ni Je serikali imefanya research kubaini hawa vijana(wasomi) waliokaa kwa zaidi ya miaka mitatu mitaani kazi wanazojishughulisha nazo?? isijekuwa tunalichukulia katika hali ya kisiasa na mzaha kumbe humu humu ndo tukajikuta tunatengeneza wezi, vibaka, wavuta bangi, madada poa n.k

ifikie mahala tuambizane ukweli hili tatizo la ajira kwa vijana kwa sasa ni kilio kikubwa linalohitaji suluhisho la kudumu vinginevyo tutaendelea kuwajengea vijana roho za kwanini dhidi ya serikali yetu. Na hizi kauli za kuwambia wakajiajiri ni kuwapa misalaba wasiyoiweza kuibeba sawa sawa na kuwavalisha mavazi mazito kisha kuwadumbukiza ndani ya maji ya kina kirefu waogelee. Nasema hivi kwa sababu vijana wengi wanakabiliwa na ukata wa kifedha(mtaji) wa kuwawezesha wao kujiajiri vile vile kila eneo huwa linahitaji ubobezi wa kitaaluma(expertise) sasa sjui kwa mtu aliyesomea ualimu ama udaktari anaweza kujiajiri kwa kitu gani zaidi ya taaluma hiyo aliyosomea labda wajuvi wa mambo mnaweza kutusaidia katika hili.

Lakini kiujumla hali siyo shwari kwa vijana huku mtaani serikali ijaribu kuwafikiria vijana katika jicho la tatu maana wanatia huruma mpaka basi wengine ndo kabisaa wamejikatia mpaka tamaa ya maisha.

MR TOXIC Naomba kuwasilisha.
 
Wana jf,

Bomu la ajira kwa vijana aliloliona mzee Lowassa lilitengenezwa awamu ya tatu na ya nne.

Tuanze na awamu ya tatu, baada ya kubinafsisha mashirika mengi ya umma, waliopewa dhamana wakaua viwanda kabisa, majumba mengi yakawa magofu, wizi wa vipuri vukageuzwa chuma chakavu, viwanja vikakopewa kwenye mabenki.

Hivyo hivyo kwenye mashamba mbali mbali, mengi hayakuendelezwa yalitumika kama mortgage ya kukopea.

Awamu ya nne, vijana wengi walisujudu wizi sana kuliko kujibiidisha na kazi, utapeli kila kona ulitamalaki, waliotapeli kupitia madini ndio walikuwa kifua mbele kuwa wafadhili wa chama, waliojihusisha na madawa ya kulevya ndio walikuwa wanachagua viongozi wa ngazi fulani fulani.

Kuna kipindi Dr. Mengi alilalamika kutegwa madawa ili adhakilishwe, tumeyaona yaliyomtokea Dr. Mwakyembe alipoifumua bandari, wizi wa bandari ulikuwa na baraka zote, vijana wa bandarini ndio walikuwa watesi wa vijana wanaojitegenea kiasi kwamba kila mmoja aliitaka clearing and forwarding ili naye aibe.

Hawa vijana waliwakatisha wengine tamaa. Kazi ya kuajiliwa ikaonekana ndio bora zaidi kuliko ya kujitegemea.

Nini kifanyike, ni kufumua mitaala yote ya elimu, awepo huhitaji wa sayansi ya viwanda, awepo viwanda vya kukopi na kupesti kama China na India. Haiwezekani pikipiki, bajaji, trekta, baiskeli, mountain bike tunaagiza nje, hata tissue za kufutia vitu jamani?
 
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
 
itafika kipindi watu wote watakuwa wajasiriamali, hakuna mnunuzi wote wauzaji, tutarudi kwenye barter trade.
Hii kamwe haitatokea. Soko linapanuka kila siku....usiangalie mtaani ama mkoani ama nchini kwako tu. Toka nje ya hapo, kuna uhitaji mkubwa sana wa bidhaa
 
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
hata kilimo kinahitaji mtaji, mbegu, trekta, kupalilia, dawa , na matumizi mengine, kama huna hela huwezi kufanya chochote
 
Wana jf,

Bomu LA ajira kwa vijana alililoliona mzee Lowasa lilitengenezwa awamu ya tatu na ya NNE. Tuanze na awamu ya tatu, baada ya kubinafsisha mashirika mengi ya umma, waliopewa dhamana wakaua viwanda kabisaa, majumba mengi yakawa magofu, wizi wa vipuri vukageuzwa chuma chakavu, viwanja vikakopewa kwenye mabenki. Hivyo hivyo kwenye mashamba mbali mbali, mengi hayakuendelezwa yalitumika kama mortgage ya kukopea.

Awamu ya NNE, vijana wengi walisujudu wizi sana kukiko kujubidisha na Nazi, utapeli kila kona ulitamalaki, waliotapeli kupitia madini ndio walikuwa kifua mbele kuwa wafadhili wa chama, waliojihusisha na madawa ya kulevya ndio walikuwa wanachagua viongozi wa ngazi Fulani Fulani, kuna kipindi Dr. Mengi alilalamika kutegwa madawa ili adhakilishwe, tumeyaona yaliyomtokea Dr. Mwakyembe alipoifumua bandari, wizi wa bandari ulikuwa na baraka zote, vijana wa bandarini ndio walikuwa watesi wa vijana wanaojitegenea kiasi kwamba kila mmoja aliitaka clearing and forward ing ili naye aibe. Hawa vijana waliwakatisha wengine tamaa. Kazi ya kuajiliwa ikaonekana ndio bora zaidi kuliko ya kujitegemea
Nini kifanyike, ni kufumua mitaala yote ya elimu, awepo huhitaji wa sayansi ya viwanda, awepo viwanda vya kukopi na kupesti kama China na India, haiwezekani pikipiki, bajaj, trekta, baiskel mountain bike tunaagiza nje, hata tissue za kufutia vitu jamani!
Hayo ni maneno ya rais wetu kabla hajashika madalaka lakini leo hii mambo anayofanya ni ya hovyo sana watu wamekereka sana na huu utawala
 
Tanzania ina soko huru la ajira. Serikali na sekta binafsi zinaendeshwa zikitegemea kiasi fulani tu cha rasilimali watu. Ndio maana kuongeza nafasi ajira inapaswa kuongeza biashara (mzunguko wa pesa).
Makontena ya graduates ni makubwa mno kuliko nafasi zilizopo. Serikali haiwezi kwa namna yoyote ile kuongeza ajira yenyewe.
Inachoweza ni kutengeneza mazingira mazuri ya kuongezeka shughuli za kiuchumi (ila sio zisizo rasmi).
Hata tulieje, tatizo la ajira haliwezi kuisha kwa sababu watu wengi wana-invest muda wao kujitayarisha kuwa waajiriwa, huku nafasi za ajira ni Mathematically impossible kukua kwa RATE hiyo hiyo.
Soko la ajira ni kama soko jingine tu. Ni suala la demand and supply. Hata serikali ifanye vipi, halitatuliki kama watu hawaelewi kuwa hawakuzaliwa kuajiriwa (kupewa), bali kutafuta.
 
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Vyuo vya kilimo vinatoa wahitimu wangapi kila mwaka? Utaanza kulima matikiti wakati hujui yanapandwaje yanapaliliwa vipi? Hao waliotapeliwa 1.5bn za korosho unadhani niwazee wote? Hujawahi sikia katazo la kuuza chakula? Hukumsikia yule baniani alilalamika kwa JPM kafunga kiwanda Cha alizeti kisa manyanyaso ya Serikali? Hebu tumia na kichwa Cha juu kufikiri angalau siku mojamoja.
 
Huu ukweli mchungu wale wapinga maendeleo wanaotumika na Mabeberu watakushambulia sana, hawapendi ukweli
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
 
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Sasa mkuu bila kujamiiana utasoma vipi?? Watu Wana tumia Neno kujamiiana kama kufanya ngono pekee I hapana kujamiiana ni wew kunganika na watu wengine katika jamii na mkashiriki katika mawazo na maarifa huko ndio kujamiiana Sasa ni Lazima watu wajamiiane yaani waingiliane

Neno kujamiiana lisitumike katika uwanja WA mapenz pekee Bali linatumiaka katika seem zingine
 
Wana jf,

Bomu la ajira kwa vijana aliloliona mzee Lowassa lilitengenezwa awamu ya tatu na ya nne.

Tuanze na awamu ya tatu, baada ya kubinafsisha mashirika mengi ya umma, waliopewa dhamana wakaua viwanda kabisa, majumba mengi yakawa magofu, wizi wa vipuri vukageuzwa chuma chakavu, viwanja vikakopewa kwenye mabenki.

Hivyo hivyo kwenye mashamba mbali mbali, mengi hayakuendelezwa yalitumika kama mortgage ya kukopea.

Awamu ya nne, vijana wengi walisujudu wizi sana kuliko kujibiidisha na kazi, utapeli kila kona ulitamalaki, waliotapeli kupitia madini ndio walikuwa kifua mbele kuwa wafadhili wa chama, waliojihusisha na madawa ya kulevya ndio walikuwa wanachagua viongozi wa ngazi fulani fulani.

Kuna kipindi Dr. Mengi alilalamika kutegwa madawa ili adhakilishwe, tumeyaona yaliyomtokea Dr. Mwakyembe alipoifumua bandari, wizi wa bandari ulikuwa na baraka zote, vijana wa bandarini ndio walikuwa watesi wa vijana wanaojitegenea kiasi kwamba kila mmoja aliitaka clearing and forwarding ili naye aibe.

Hawa vijana waliwakatisha wengine tamaa. Kazi ya kuajiliwa ikaonekana ndio bora zaidi kuliko ya kujitegemea.

Nini kifanyike, ni kufumua mitaala yote ya elimu, awepo huhitaji wa sayansi ya viwanda, awepo viwanda vya kukopi na kupesti kama China na India. Haiwezekani pikipiki, bajaji, trekta, baiskeli, mountain bike tunaagiza nje, hata tissue za kufutia vitu jamani?
Ajira ni tatizo la ulimwengu mzima na haliwezi kupatiwa ufumbuzi na serikali tu bila kuhusisha sekta binafsi.
 
Serikali inao wajibu kwani wao ndio watunga Sera watunga sheria na watengeneza kanuni tatizo tumempa mtu dhamana ya kusimamia ajira Kama fadhila ya kisiasa tabu zote wanazopata vijana wetu Ni upumbavu wa kijana mmoja anaitwa mavunde
 
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Hizi pumba hata kuku hali
 
Halafu na wewe ni baba mwenye familia yako kabisa kama unashindwa kufikiria tu kwenye uchangiaji wa hoja kama hizi???? SHAME!!!
 
Back
Top Bottom