Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Aise we noma sana dah!!
 
mkuu Sexless nisaidie namna ya kupata mashamba ya bure kwa kilimo lau miaka miwili mikoa yenye uhakika wa, mvua au mito. kioaumbele kiwe Mbeya na Katavi.
 
Sasa mkuu bila kujamiiana utasoma vipi?? Watu Wana tumia Neno kujamiiana kama kufanya ngono pekee I hapana kujamiiana ni wew kunganika na watu wengine katika jamii na mkashiriki katika mawazo na maarifa huko ndio kujamiiana Sasa ni Lazima watu wajamiiane yaani waingiliane

Neno kujamiiana lisitumike katika uwanja WA mapenz pekee Bali linatumiaka katika seem zingine
+++
limetoholewa kwenye neno SOCIALISE/SOCIALISATION
 
Sijui atalima bila mtaji
kilimo cha magazetini kina raha yake
tapatalk_1559574219234.jpeg
 
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Taka Taka...
 
kupanuka kwa soko nadhani kunaendana sambamba na kupanuka kwa kipato.kama kweli soko linapanuka kwa nn wakulima wanaakosa masoko ya bidhaa zao!pia nchi haiwezi ikazalisha wajasiriamali/wafanya biashara wote na soko litakuwaje.ni lazima ajira zizalishwe pia wafanyabiasha nao watengezewe mazingira ili nao pia wasaidie kuzalisha ajira.haijawahi tokea nchi ikawa yote ni ya wajasiriamali tu.
 
kilimo cha magazetini kina raha yakeView attachment 1246911

hizo ni hadithi tu tuliojaribu kufanya biashara tunafahamu uchungu wake.jaribu hiyo biashara halafu uje utoe ushuhuda humu ndani.kuna mkulima hapa kigoma ana hekari mbili na nusu na zote zinaanza kuiva na mpaka sasa kachanganyikiwa hajui wapi akauze na wakati huo huo ana mkopo benki hebu humu ndani msaidieni mm nitatoa anuani yake.
 
Sekta binafsi ndio mkombozi pekee wa tataizo la ajira, watunga sera wajaribu kuumiza vichwa kuijenga na kuitanua sekta binafsi ili watu wengi wakaajiriwe na kujiajiri huko. Kazi ya serikali ni kuweka mbinu na miundombinu yake ili watu wazitumie kujiongezea kipato, kujiajiri na kuajiriwa..
 
Vijana Wa CCM ni aina ya kina NAPE na MAKAMBA.

Inatembezwa Kwa Magoti Mita 10 Kumnyenyekea Kibwengo Ili Wapate Mkate Wa Kila Siku Wakati Yamekuwa Mabunge Na Mawaziri Miaka Na Miaka.

Ina Maana Kujiajiri Na Yenyewe Hayana Mitaji ?

Au Graduate Ndo Wanaopaswa Kujiajiri ?

Yaani Majitu Mpaka Yanadhalilishwa Yanaitwa Pumbav, Yanajichekelesha Na Kujifanya Kama Hayajasikia Ili Kulinda Vibarua.

Takataka Za CCM zinapokuwa Zinatafuta Ulaji Huwa Zinadanganya Kuwa Zitatengeneza Ajira, Ila Kwa Kuwa Akili zao Tufe!

Ndo Zinaona Kama Wataka Ajira Wanayapigia Kelele Na Kuwaambia Watu Wajiajiri Ili Yatafune Bila Kelele.

Ukiyaambia Yawaachie Wanaoweza Kutengeneza Ajira Kwa Kuwa Yenyewe Yameshindwa - HAYATAKI.

#Vibwengoooo
 
Utakuta malay.a kama wewe umelaza kitambi chako kwenye ofisi ya serikali now umeshiba wali na maini unajijambia tu hapo unakuja kutema mashudu jf.fck
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
 
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira

Acha utani wewe, unafikiri kulima watu wanalima tu kama unavyofikiria.. Babu zetu wamelima miaka nenda rudi wameishia kufa masikini na wakashindwa kuijenga nchi. Kizazi cha digitali kimekuja kivingine kwa namna nyingine umeona miji ilivyojengwa kwa kasi..

Mkoloni alilima kwa mahesabu akatoa ajira kupitia kilimo lakini si hiki unachotaka kuwaaminisha watu hapa, cha jembe la mkono na kutegemea mvua ije, Zimbabwe kawaulize walipojaribu kulima kilichowakuta..
 
Anza kutumia mtaji wa elimu yako na nguvu zako wewe. Bibi na babu yako mpk Leo hawajawahi hata siku moja kukopa benki lkn mpk wamezeeka wanategemea kilimo. Wewe umewazidi kwa maarifa uliyoyapata shule. Onesha tofauti sasa. Ukishindwa ujue ulienda shule kujamiiana tu
we jamaa kichwani hakuna kitu kabisa,bibi na babu wakati wao mvua zilikua za kutosha,ardhi haikuhitaji mbolea na hapakua na wadudu waharibifu,leo hii hata mchicha unavamiwa na wadudu,mvua hakuna unahitaji kufanya umwagiliaji,unahitaji mbolea,sio unaongea tu kama umelamba damu ya hedhi
 
Elimu yako sasa unaitumiaje wewe? Hujui hata kwamba kuna mbegu zinazovumilia ukame na magonjwa? Nenda kwenye vituo vya utafiti wa mbegu vimetapakaa nchi nzima, Kawaelezee aina ya uoto wa asili uliopo maeneo yako pamoja na aina ya wadudu wa vimelea vya magonjwa
 
wasingeingiza dawa za kuuwa wadudu..unaongea kirahisi tu..kuna mbegu ya mahindi,mpunga,nyanya,vitunguu inayovumilia magonjwa!?..au unaongea tu ukijikuna nywele za sehemu za siri
 
Sexless,
Umeshiba makande kwa shemeji unaropokwa na maneno kajitegemee.Kilimo ni pesa huna pesa huwezi lima.Hakuna kijana apendae kukaa bila kazi,tatizo ni mitaala yetu ya elimu aichochei watu kupata maarifa ya kujitegemea.
 
Kusomesha watu namba ni kuuwa sekta binafsi ambayo ilikuwa ni injini ya ajira nchini takribani watu milioni 3 wameshaathirika kwa ukosefu wa ajira baada ya kusomeshwa namba. Hakuna ajira mpya zilizoongezeka zaidi ya kufa za zamani.Hapa kosa ni Sera
 
Back
Top Bottom